Moto wa Kampeni za CHADEMA ARUSHA-Video

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
5,182
2,304
Jana Jumomosi Kamnda Godbless Lema aliongoza mashambuzi yeye na white Kijenge juu kata ya Kimandolu.
Mazishi makubwa ya kuizika CCM yanatarajiwa kuwa tarehe 16/06/2013 hapa Kimandolu Arusha
Angalia video hapo chini. Katika Video ya kwanza ni baada ya Mh. Lema kuwahutubia wananchi wa Kijenge juu ndipo Landcruiser Pick up yenye bendera kubwa mbili kubwa za CCM nia picha ya mgombea wa CCM ikakatiza katikati ya mkutano na ikapita bila hata kuguswa kuonyesha kwamba CDM ni watu wa amani siku zote.

[video=youtube_share;dYSLEoFJEK 0]http://youtu.be/dYSLEoFJEK0[/video]

[video=youtube_share;LdK8IKaNfo0]http://youtu.be/LdK8IKaNfo0[/video]

[video=youtube_share;AkG8sPTlwgY]http://youtu.be/AkG8sPTlwgY[/video]
 
Hahahahaha hali hii ingekuwa hivi kila kona nchi! Uhakika wa kuiondoa CCM 2015 ingekuwa kama kumsukuma mlevi
 
Video nimeongeza ya tatu wakuu mjionee wenyewe[video=youtube_share;dYSLEoFJEK0]http://youtu.be/dYSLEoFJEK0[/video]
 
Video kwenye ili watu wajue mna wapambe kweli mna shida vijana. Nipo zng kusin but nina uhakika kwa mwigulu watu nyomiiii hata sihitaji. Weken hata picha tuone hao watu wengi basi.
 
Kama kweli, basi inahitaji uvute bangi kidogo ili kutetea chama chetu hapo kimandolu. nje ya kulewa kidogo, kusimama jukwaani ni kazi.
 
Kama kweli, basi inahitaji uvute bangi kidogo ili kutetea chama chetu hapo kimandolu. nje ya kulewa kidogo, kusimama jukwaani ni kazi.

Mkuu hapa watoto wa nursery woote ni CHADEMA wanasubiri tu miaka yao 18 ifike wawapokee baba zao vijiti kwa kasi sana na kumalizia ngwee iliyobaki kama bado adui namba moja CCM atakuwa hajapigwa chini kwenye safu ya kitaifa.
 
mkuu cc watu wa mbali tunajua ccm ilishakwisha arusha kitambo, kwani chambichambi zipo bodo?!
 
Back
Top Bottom