Moto wa Chadema kuhamia Nyanda za Juu Kusini

Dont let em do what they "have doing" for the past 45 and "above years"
Mkubwa lugha ya Watu hii.[/QUOTE]

sio mbaya siku nyingine ata improve, japo imenivunja mbavu sana hiyo lugha ya wenyewe aliyoitumia mwenzetu hapo juu... ndo matokeo ya shule zetu..... Any way nisitoke nje ya topic
 
I advise that CDM make their Southern Highlands rallies more purpose specific. Calling it operation Sangara is inadequate.
I propose basing the rallies on a demand that the government lower taxes on petroleum products. As things stand, importers of petroleum products pay 55% of the FOB price as tax. This is excessive. Let the Southern Highlands rallies demand that this tax regime be lowered to a more manageable 20%. That, I submit, will alleviate poverty.
 
Ni muhimu kwa WTZ kujiepusha na hichi chama chenye misingi ya kugawa nchi Kiudini na Ukabila. Udini uliopo Chadema ni wa kipingwa na siyo kushangiliwa. TZ turudini kwenye maadili yetu. Padre Slaa ni kiongozi wa Wakatoliki mwenye agenda mbaya dhidi ya Waislamu.
 
Uko wapi huo UDINI. Unarudia tu anayosema Kikwete kama kasuku?
 
Ni muhimu kwa WTZ kujiepusha na hichi chama chenye misingi ya kugawa nchi Kiudini na Ukabila. Udini uliopo Chadema ni wa kipingwa na siyo kushangiliwa. TZ turudini kwenye maadili yetu. Padre Slaa ni kiongozi wa Wakatoliki mwenye agenda mbaya dhidi ya Waislamu.
Mada hapa ni moto wa Chadema kuhamia nyanda za juu masuala ya udini ni yenu na mwenyekiti wenu.
 
Ni muhimu kwa WTZ kujiepusha na hichi chama chenye misingi ya kugawa nchi Kiudini na Ukabila. Udini uliopo Chadema ni wa kipingwa na siyo kushangiliwa. TZ turudini kwenye maadili yetu. Padre Slaa ni kiongozi wa Wakatoliki mwenye agenda mbaya dhidi ya Waislamu.

Uchokozi mwingine hauna tija.
 
Ibra Mo tafuta movie moja inaitwa "hang em high" ndiyo utamuelewa mdau. Alichoteleza hapo ni kuacha " have been doing" na ninachoamini hakufanya proof leading lasivyo kila kitu kiko sawa.
 
Bila shaka kipindi hicho nitakuwa likizo kwa hiyo nitayashuhudia kwa macho, kuliko hivi sasa nasoma kwa internet tuu.
 
go cdm hapo mwanjelwa mkwere anapajua watu walilala road ikabidi asimame na walimtukana matusi mengi sana uyole alipita njia ya chuo cha kilimo kuwakimbia vijana road chunya walimpiga mawe amshukuru sana mwandosya maana watu hawataki hata kumuona viva mbeya wanamapinduzi wa ukweli
 
Chadema kimepanga kuanza kuanza ziara ya Operesheni Sangara katika mikoa ya Nyanda za Juu Kusini baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Bunge la April.

Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Mbeya Mjini, John Mwambigija, amesema wabunge wote na viongozi wa juu wa chama hicho wataweka kambi mkoani Mbeya hivi karibuni kwa ajili ya kuendelea kuhamasisha umma kujiunga na chama hicho.

Amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye maandamano na mikutano hiyo mara itakapoanza, Operation hiyo itahusisha mikoa ya Mbeya, Iringa, Ruvuma, na Rukwa.

Hii ni awamu ya pili ya mwendelezo wa Operation hiyo iliyobuniwa na chama hicho baada ya kupata mafanikio makubwa kwenye maandamano na mikutano iliyomalizika hivi karibuni katika kanda ya Ziwa ikihusisha mikoa ya Mwanza, Mara, Shinyanga na Kagera.

Naomba tuwaunge mkono kwa sababu madai wanayozungumzia karibu yanamgusa kila mtu, hata baadhi ya makada maarufu wa CCM akiwemo aliyekuwa waziri mkuu Fredrick Sumaye, Chrisant Mzindakaya na kada wa siku nyingi Balozi Paul Ndobho wameanza kukiona umuhimu wa harakati hizi za Chadema.

Naomba kuwasilisha.

Kama ni kweli basi tunawatakia kila Lenye heri.

Tunachoomba ni kutumia lugha za kistaharabu zenye nia ya kujenga mshikamano na kudumisha amani na si lugha za kejeli, matusi zenye nia ya kuleta vurugu na kuondoa amani.
 
Ni muhimu kwa WTZ kujiepusha na hichi chama chenye misingi ya kugawa nchi Kiudini na Ukabila. Udini uliopo Chadema ni wa kipingwa na siyo kushangiliwa. TZ turudini kwenye maadili yetu. Padre Slaa ni kiongozi wa Wakatoliki mwenye agenda mbaya dhidi ya Waislamu.

Wakatoliki Sugu wa CCM Hawa hapa(Je ni wafuasi wa Dr Slaa)
  1. MKAPA
  2. PINDA
  3. MSEKWA
  4. MONGELLA
  5. MAMA MARIA
  6. WARIOBA
Msiwe kama mazuzu kukimbilia hoja msizozijuwa
 
Back
Top Bottom