Moto wa CDM unatisha!!!!. 2015 CCM lazima waunde kambi rasmi ya upinzani bungeni

yaani kila ninayempachika anashtukiwa!!! ngoja nimpigie magoti kagame aniazime angalau mawaziri wawili,hadi nao washtukiwe na kodi yangu ya magogoni itakuwa imekwisha, Dah!!
 

Attachments

  • 1387284969085.jpg
    1387284969085.jpg
    16.1 KB · Views: 64
Hali ipo nchi nzima kamanda, 2015 CCM lazima waunde kambi dhaifu ya upinzani wakishirikiana na CUF!
 
ni kwamba watanzania wameshajitambua, hawadanganyiki.....
hakika ukombozi uko karibu.

tuendeleze mapambano
 
Back
Top Bottom