C Capt Tamar JF-Expert Member Dec 15, 2011 11,737 14,636 Dec 17, 2013 #21 yaani kila ninayempachika anashtukiwa!!! ngoja nimpigie magoti kagame aniazime angalau mawaziri wawili,hadi nao washtukiwe na kodi yangu ya magogoni itakuwa imekwisha, Dah!! Attachments 1387284969085.jpg 16.1 KB · Views: 64
yaani kila ninayempachika anashtukiwa!!! ngoja nimpigie magoti kagame aniazime angalau mawaziri wawili,hadi nao washtukiwe na kodi yangu ya magogoni itakuwa imekwisha, Dah!!
M M2. Senior Member Nov 27, 2013 160 53 Dec 17, 2013 #22 Hali ipo nchi nzima kamanda, 2015 CCM lazima waunde kambi dhaifu ya upinzani wakishirikiana na CUF!
Yericko Nyerere JF-Expert Member Dec 22, 2010 16,987 20,271 Dec 17, 2013 #23 Tutarudisha mali zote walizokwapua viwanja vya mipira na maeneo ya wazi. Pipooooooz
lane JF-Expert Member Jan 17, 2013 897 492 Dec 17, 2013 #24 ni kwamba watanzania wameshajitambua, hawadanganyiki..... hakika ukombozi uko karibu. tuendeleze mapambano
ni kwamba watanzania wameshajitambua, hawadanganyiki..... hakika ukombozi uko karibu. tuendeleze mapambano
swagazetu JF-Expert Member Nov 28, 2013 4,251 1,467 Dec 17, 2013 #25 Henge said: mkuu tunakazi kubwa kuiua chadema tusibweteke endeleza mashambulizi mkuu. Click to expand... chadema ni kama maji usipokunywa utaoga.
Henge said: mkuu tunakazi kubwa kuiua chadema tusibweteke endeleza mashambulizi mkuu. Click to expand... chadema ni kama maji usipokunywa utaoga.
salimkabora JF-Expert Member Nov 10, 2012 2,441 651 Dec 17, 2013 #26 Apolinary said: Ni kweli Uchaguzi wa 2015 Ni lazima Ccm iunde kambi ya Upinzani maana Chadema itachukua dola. Click to expand... Ndoto zingine bhana huwaga tamuuuuuuuu
Apolinary said: Ni kweli Uchaguzi wa 2015 Ni lazima Ccm iunde kambi ya Upinzani maana Chadema itachukua dola. Click to expand... Ndoto zingine bhana huwaga tamuuuuuuuu