Mbuzimtu
JF-Expert Member
- Jul 25, 2013
- 355
- 178
Wadau,
Katika pitapita zangu mtaani nimegundua sasa watanzania wanaelewa mambo yahusuyo nchi yao kuliko unavofikiria hasa ukiwa mjini.
Nimetoka wilayani Ileje juzi CDM mnatisha!.Nikiwa wilayani Ileje, kilometa tano toka mpakani mwa Tanzania na Malawi, nimeshangaa sakata la kusimamishwa kwa Zitto na Mkumbo kuwa maada ya kijiweni. Huwezi amini vijana wanasema utadhani wanawafaham hawa mabwana wawili.
Nimejiuliza, huyu Zitto na Mkumbo wameshawahi kufika huko Ileje?. Wamewafahamje?. Nimegundua sasa CDM inafahamika kuliko wakati wowote!. Mpaka vijijini uongozi wa CDM taifa unajulikana sio kama CUF, NCCR, etc.
Kwa umarufu huu 2015 sijui kama CCM inapakutokea