Moto wa CDM unatisha!!!!. 2015 CCM lazima waunde kambi rasmi ya upinzani bungeni

Mbuzimtu

JF-Expert Member
Jul 25, 2013
355
178
Wadau,
Katika pitapita zangu mtaani nimegundua sasa watanzania wanaelewa mambo yahusuyo nchi yao kuliko unavofikiria hasa ukiwa mjini.

Nimetoka wilayani Ileje juzi CDM mnatisha!.Nikiwa wilayani Ileje, kilometa tano toka mpakani mwa Tanzania na Malawi, nimeshangaa sakata la kusimamishwa kwa Zitto na Mkumbo kuwa maada ya kijiweni. Huwezi amini vijana wanasema utadhani wanawafaham hawa mabwana wawili.

Nimejiuliza, huyu Zitto na Mkumbo wameshawahi kufika huko Ileje?. Wamewafahamje?. Nimegundua sasa CDM inafahamika kuliko wakati wowote!. Mpaka vijijini uongozi wa CDM taifa unajulikana sio kama CUF, NCCR, etc.

Kwa umarufu huu 2015 sijui kama CCM inapakutokea
 
mkuu tunakazi kubwa kuiua chadema tusibweteke endeleza mashambulizi mkuu.

Ukweli ni huu; kuua CDM mmechelewa sana. Kwa sasa hamtaweza. jipangeni kuunda kambi rasmi ya upinzani bungeni.
 
Wadau,
Katika pitapita zangu mtaani nimegundua sasa watanzania wanaelewa mambo yahusuyo nchi yao kuliko unavofikiria hasa ukiwa mjini.

Nimetoka wilayani Ileje juzi CDM mnatisha!.Nikiwa wilayani Ileje, kilometa tano toka mpakani mwa Tanzania na Malawi, nimeshangaa sakata la kusimamishwa kwa Zitto na Mkumbo kuwa maada ya kijiweni. Huwezi amini vijana wanasema utadhani wanawafaham hawa mabwana wawili.

Nimejiuliza, huyu Zitto na Mkumbo wameshawahi kufika huko Ileje?. Wamewafahamje?. Nimegundua sasa CDM inafahamika kuliko wakati wowote!. Mpaka vijijini uongozi wa CDM taifa unajulikana sio kama CUF, NCCR, etc.

Kwa umarufu huu 2015 sijui kama CCM inapakutokea

CCM wameshakufa............. 2015 kambi ya upinzani itaungwa kwa vipande vidogo vidogo vya vyama vitakavyojiunga, moja chama cha Lowassa, Sitta, Membe wakiungana na CUF
 
CCM haina pa kuchomokea mwaka 2015....Mpaka kieleweke..

Yaani kila action ya CCM inawapa CDM credit. Hebu fikilia juzi tu Kinana katoka Mbeya. Leo hii watu wanazungumzia CDM tena si kwa kuikosoa bali kwa kuipongeza. Mi nimewanyoshea mikono hawa maCDM!!. Ni noma!!
 
Ni kweli Uchaguzi wa 2015 Ni lazima Ccm iunde kambi ya Upinzani maana Chadema itachukua dola.
 
unazungumzia hii chadema ya vipande vipande ya choon na bafuni.

Kijana naona umeamua kuwa na jina la wale wa Kongo 2liowang'oa? Any way umeshaenda kumzika mwenyekiti wenu? huu ndio mwanzo mliwatisha na silaha wameshaanza kuzizoea wanaanza kuwampunguza. Poleni na msiba
 
mkuu tunakazi kubwa kuiua chadema tusibweteke endeleza mashambulizi mkuu.
Na pia ukizingatia Zitto ametufilisi na hamna la maana alichofanya....Alituhakikishia Chadema itakufa 2013 tukamuamini kumbe Chama hiki Walianza na Mungu na watamaliza na Mungu..
 
hii sasa hivi inatumika kama kilabu cha kuuzia na kunywea kangara.
 
Attachments

  • 1387284711038.jpg
    1387284711038.jpg
    78.7 KB · Views: 37
unatumia pua kifikiri wewe cdm ni kila kitu sema

sema ni mabavu yenu magamba ndiyo yanawalinda
 
Back
Top Bottom