Moto wa CDM unatisha!!!!. 2015 CCM lazima waunde kambi rasmi ya upinzani bungeni

C

Capt Tamar

JF-Expert Member
Dec 15, 2011
9,910
2,000
yaani kila ninayempachika anashtukiwa!!! ngoja nimpigie magoti kagame aniazime angalau mawaziri wawili,hadi nao washtukiwe na kodi yangu ya magogoni itakuwa imekwisha, Dah!!
 

Attachments

M

M2.

Senior Member
Nov 27, 2013
161
0
Hali ipo nchi nzima kamanda, 2015 CCM lazima waunde kambi dhaifu ya upinzani wakishirikiana na CUF!
 
Yericko Nyerere

Yericko Nyerere

Verified Member
Dec 22, 2010
16,772
2,000
Tutarudisha mali zote walizokwapua viwanja vya mipira na maeneo ya wazi. Pipooooooz
 
lane

lane

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
894
225
ni kwamba watanzania wameshajitambua, hawadanganyiki.....
hakika ukombozi uko karibu.

tuendeleze mapambano
 
Top Bottom