Moto wa CDM unatisha!!!!. 2015 CCM lazima waunde kambi rasmi ya upinzani bungeni

Mbuzimtu

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Messages
355
Points
0

Mbuzimtu

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2013
355 0
Wadau,
Katika pitapita zangu mtaani nimegundua sasa watanzania wanaelewa mambo yahusuyo nchi yao kuliko unavofikiria hasa ukiwa mjini.

Nimetoka wilayani Ileje juzi CDM mnatisha!.Nikiwa wilayani Ileje, kilometa tano toka mpakani mwa Tanzania na Malawi, nimeshangaa sakata la kusimamishwa kwa Zitto na Mkumbo kuwa maada ya kijiweni. Huwezi amini vijana wanasema utadhani wanawafaham hawa mabwana wawili.

Nimejiuliza, huyu Zitto na Mkumbo wameshawahi kufika huko Ileje?. Wamewafahamje?. Nimegundua sasa CDM inafahamika kuliko wakati wowote!. Mpaka vijijini uongozi wa CDM taifa unajulikana sio kama CUF, NCCR, etc.

Kwa umarufu huu 2015 sijui kama CCM inapakutokea
 
Mungi

JF Gold Member
Joined
Sep 23, 2010
Messages
16,982
Points
1,500

Mungi

JF Gold Member
Joined Sep 23, 2010
16,982 1,500
Wadau,
Katika pitapita zangu mtaani nimegundua sasa watanzania wanaelewa mambo yahusuyo nchi yao kuliko unavofikiria hasa ukiwa mjini.

Nimetoka wilayani Ileje juzi CDM mnatisha!.Nikiwa wilayani Ileje, kilometa tano toka mpakani mwa Tanzania na Malawi, nimeshangaa sakata la kusimamishwa kwa Zitto na Mkumbo kuwa maada ya kijiweni. Huwezi amini vijana wanasema utadhani wanawafaham hawa mabwana wawili.

Nimejiuliza, huyu Zitto na Mkumbo wameshawahi kufika huko Ileje?. Wamewafahamje?. Nimegundua sasa CDM inafahamika kuliko wakati wowote!. Mpaka vijijini uongozi wa CDM taifa unajulikana sio kama CUF, NCCR, etc.

Kwa umarufu huu 2015 sijui kama CCM inapakutokea
CCM wameshakufa............. 2015 kambi ya upinzani itaungwa kwa vipande vidogo vidogo vya vyama vitakavyojiunga, moja chama cha Lowassa, Sitta, Membe wakiungana na CUF
 
Mbuzimtu

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2013
Messages
355
Points
0

Mbuzimtu

JF-Expert Member
Joined Jul 25, 2013
355 0
CCM haina pa kuchomokea mwaka 2015....Mpaka kieleweke..
Yaani kila action ya CCM inawapa CDM credit. Hebu fikilia juzi tu Kinana katoka Mbeya. Leo hii watu wanazungumzia CDM tena si kwa kuikosoa bali kwa kuipongeza. Mi nimewanyoshea mikono hawa maCDM!!. Ni noma!!
 
defence

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2008
Messages
572
Points
500

defence

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2008
572 500
unazungumzia hii chadema ya vipande vipande ya choon na bafuni.
Kijana naona umeamua kuwa na jina la wale wa Kongo 2liowang'oa? Any way umeshaenda kumzika mwenyekiti wenu? huu ndio mwanzo mliwatisha na silaha wameshaanza kuzizoea wanaanza kuwampunguza. Poleni na msiba
 
Forum statistics

Threads 1,392,168
Members 528,552
Posts 34,100,482
Top