Moto unaitesa AMERIKA

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Marekani imekumbwa na janga la moto,moto umbao hadi sasa umeunguza ekari 3.5 millioni na kuua mtu mmoja kwenye jimbo la TEXAS,moto huo kwa leo umeingia kwenye eneo la ekari 25,000,inasemekana kuwa unaambatana na upepo mkaali unaosababishwa na kimbunga cha LEE,,,,,,,
MY NOTE:Amerika ni taifa kuubwa duniani lakin moto huu unaonekana ni changamoto kwao maana haujaanza leo wala jana wala juzi,,,,,,,,

Je moto unaoitesa amerika ni kwa sababu ya teknolojia au uzoefu mdogo kupambana na majanga makubwa kama la moto

Je moto unaoitesa amerika ni kwa sababu ya teknolojia au uzoefu mdogo kupambana na majanga makubwa kama la moto

Uzoefu wanao sana na nyenzo za kukabiliana nao wanazo ila sijui kwa nini tu hii mioto ipo kila mwaka!

Marekani haishindwi kitu bana.

Usiseme haishindwi kitu ngabu,,,,,mambo mengi tu amerika imeshindwa kuyatatua ndani ya amerika,la kwanza hili la moto,la pili ni la katrina ilowatesa watu weusi,nimesahau jimbo lile ambalo linakaliwa sana na watu weusi,la tatu kuzuia shambulizi la kigaidi
Uzoefu wanao sana na nyenzo za kukabiliana nao wanazo ila sijui kwa nini tu hii mioto ipo kila mwaka!

Marekani haishindwi kitu bana.

Uzoefu wanao sana na nyenzo za kukabiliana nao wanazo ila sijui kwa nini tu hii mioto ipo kila mwaka!

Marekani haishindwi kitu bana.

Kwa maoni yangu; wameinvest sana kwenye suppression kuliko prevention! Moto uambatanao na kimbunga ni Ngumu sana kuuzima hata kama una madege gani; kwani joto husukumwa na upepo na hukasha miti kabla hata cheche hazijafika!

Unajua kwetu mioto inayowaka kila Mwaka husaidia kupunguza fuel load hivyo moto unakuwa si mkali sana.

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom