MOTO UMEWAKA - Toa UTABIRI wako "KESHO KALENGA NANI MSHINDI" MAGAMBA au KAMANDA?

Kama kalenga wa uchungu na Jimbo lao ki maendeleo ccm itashinda ila wamevishwa miwani ya mbao na kulishwa maneno ya uwongo bs cdm watashinda.
 
Chochote chaweza kutokea. Ni kweli kuwa Kampeni za Chadema zilionekana kuwavutia wengi kuliko za CCM, lakini tatizo ni lilelile la dafteri la wapiga kura. Ndo maana nasema chochote chawezekana!
 
Kalenga fanyen kweli mambo ya kupeana madaraka, Baba alikuwa mbunge na mtoto awe mbunge hadi wajukuu na vitukuu watakuwa wabunge Jimbo litaongozwa na familia. Ajabu kabisa muwaige watu wa Arumeru.
 
KWA jinsi ambavyo vyama vipo makini naamini mshindi wa kesho ni mshindi wa halali. Kila chama kinaamini ushindi, MAONI..

polisi wasipowasumbua wapiga kura wasiporusha mabomu, wasipotumia vitu vyenje nja kali, wasipotumia maji ya kuwasha, wasiposadia kuiba kura, wasipoisikiliza ccm na kufanya ya haki bila upendeleo kwa chama chochote. Basi amini ushindi wa kesho utakuwa wa halali.
 
hivi mtu mwenye akili zako timamu unaanzaanzaje kuchagua chadema?? Unaanzaanzaje naombeni majibu

Ni kweli mkuu mtu atakuwa na akili kweli kwenye bongo chama kimepewa nafasi ya kuwaletea wananchi maendeleo kwa miaka 53 lakini hakuna maji ya bomba , hakuna barabara na sehem nyingi hazifikiki hakuna umeme , ukitaka pembejeo lazima uache kadi ya mpiga kura mazao yao wanapangiwa bei na pa kuuza !!!!? Kwa haya na mengineyo mtu bado aichague CCM atakuwa mzima na mwenye akili timamu kweli....!!!?
 
hiki kinyang'anyiro ni chepesi sn huyo mwamama atashinda mapema sana.
 
Inawezekana magamba yakashinda, maana huenda wahehe wamepewa wali na pilau kwa spidi kubwa! Wana kalenga amkeni!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom