Moto mkubwa wateketeza soko la City Market Zambia

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Watu wasiojulikana wanadaiwa kuchoma moto soko la jiji la Lusaka. Moto huo umeanza saa 10 na nusu asubuhi ya jana na ulikuwa ukienea hadi 12 asubuhikwenye masaa ya Zambia

Wafanyabiashara na wateja waliangalia mali zao zikiungua bila kujua la kufanya



Haijawa wazi moto huo umeanzaje, sehemu kadhaa za mjini Zambia zimekuwa zikishambuliwa na polisi wameyaita mashambulizi hayo kama hujuma za kiuchumi

upload_2017-7-5_10-35-51.jpeg


upload_2017-7-5_10-36-20.jpeg

upload_2017-7-5_10-36-46.jpeg


Chanzo: Lusaka Times
 
Ajar ya moto n mbaya sana pole ziwafikie wahanga wote wa ilo janga
 
Pole Sana Zambia.
Poa, Rais wao, ametangaza hali ya hatari juzie jioni.
 
Back
Top Bottom