Moto mkubwa umeteketeza maduka ya wafanyabiashara Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro usiku wa kuamkia leo

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884
Moto mkubwa umeteketeza maduka ya wafanyabiashara Wilayani Rombo Mkoani Kilimanjaro usiku wa kuamkia leo.
Mkuu wa Wilaya ya Rombo Agnes Hokororo amethibitha hilo akiongea na Redio Moshi Fm kupitia kipindi cha Darasa Mseto.

Amesema kuwa maduka 9 yameteketea kwa moto huo saa tisa usiku ,huku ukichagizwa na mlipiko wa gesi zilizo kuwa katika maduka hao.

"Kutokana na umbali wa kupata gari la zima moto toka Moshi kuja Rombo, tuliweza kuongea na majirani zetu wa Kenya toka Lokitiktoki ambao wametusaidia, kutoka Lokitokitoki mpaka hapa Tarakea ni km 12,hivyo baadae zima moto wa walifika wakitokea kutoa huduma sehemu nyingine"

mkuu huyo wa Wilaya amewataka wafanyabiashara kuhakikisha kuwa wanakuwa na bima za biashara zao ili kupata fidia.

"Watu wamepata hasara kubwa kuna ambaye amepata hasara ya Milioni 86,wengine milioni 10 ila hawana bima".

Chanzo cha ajali hiyo bado hakija fahamika na tathimini halisi itatolewa baada ya uchambuzi kufanyika kwa kina.

MY TAKE:

Wilaya kukosa gari la Zima moto ni aibu. Tuuze ndege moja ile ilotekwa ili kila Wilaya iwe na gari la Zima moto. Kenya wanatucheka ujue. Naona aibu!
FB_IMG_1568358170901.jpg
 
View attachment 1206145
Hujuma?
 
Poleni waathirika wa moto huo Mungu awape wepesi.

Pole Tatamadiba!
 
Kuuliza SI ujinga.Samahani kwa Mimi ninavyojua Kuna Tofauti Kati ya maduka ya biashara na mabanda ya biashara.Hicho kinachoonekana kwenye picha kimeungua ni maduka au mabanda ya biashara?
 
Back
Top Bottom