Moto mkubwa nyuma ya kituo cha mafuta kariakoo

THEJEWDA

Member
May 27, 2012
35
4
Hivi kutoka fire mpaka kariakoo karibu na tawi la BOA kuna umbali gani? au mpaka mpigiwe kengele.
 
Kila siku dar kuna ajali za moto 14,na fire hawaokoi hata moja wakija ni kuzima majivu tuuu
 
[h=3][/h]


Hali ikiwa tete.
moto+gpl+2.jpg

Moto ukiunguza paa la baa hiyo.
moto+gpl.jpg

Shock ya umeme ikitokea karibu na jengo hilo.
moto+gpl+3.jpg

Watu waliojaa kushuhudia tukio hilo.

Moto mkubwa umezuka jijini Dar es Salaam karibu kabisa na Soko Kuu la Kariakoo leo asubuhi na kuteketeza baa moja. Chanzo cha moto huo inadaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme iliyotokea jirani na baa hiyo.


MOTO MKALI WATIKISA MAENEO YA KARIAKOO JIJINI DAR - MPEKUZI HURU
 
Dar ni majengo kuporomoka na moto kuteketeza kila kukicha. Arusha ni mabomu kila kukicha. Watanzania tunaelekea wapi?
 
Mkuu MziziMkavu, mbona huwa unarudia posts? hii habari ipo tangu jana. Uwe unacheki kabla ya kupost.
 
Last edited by a moderator:
Nadhani zima moto wapo hapo kufuatana na hizo picha hapo juu linaonekana gari la fire
 
Back
Top Bottom