Moto mkubwa nyuma ya kituo cha mafuta kariakoo


T

THEJEWDA

Member
Joined
May 27, 2012
Messages
35
Likes
0
Points
13
T

THEJEWDA

Member
Joined May 27, 2012
35 0 13
Hivi kutoka fire mpaka kariakoo karibu na tawi la BOA kuna umbali gani? au mpaka mpigiwe kengele.
 
MNAMBOWA

MNAMBOWA

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2011
Messages
2,013
Likes
81
Points
145
MNAMBOWA

MNAMBOWA

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2011
2,013 81 145
Kituo gani big born? Au
 
Root

Root

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Messages
29,762
Likes
17,419
Points
280
Root

Root

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2012
29,762 17,419 280
Weka picha afu ueleze vizuri
 
morphine

morphine

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2012
Messages
3,096
Likes
361
Points
180
morphine

morphine

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2012
3,096 361 180
Labda mpk wakachote maji mto msimbazi
 
Bubu Msemaovyo

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined
May 9, 2007
Messages
3,435
Likes
63
Points
145
Bubu Msemaovyo

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
Joined May 9, 2007
3,435 63 145
Hivi kutoka fire mpaka kariakoo karibu na tawi la BOA kuna umbali gani? au mpaka mpigiwe kengele.

Jibu ni jepesi tu "Je mnazo shilingi ngapi ili waje haraka?
 
taffu69

taffu69

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2007
Messages
2,089
Likes
2
Points
135
taffu69

taffu69

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2007
2,089 2 135
Hivi kutoka fire mpaka kariakoo karibu na tawi la BOA kuna umbali gani? au mpaka mpigiwe kengele.
Wako busy kukagua sticker na mitungi kwenye magari
 
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2011
Messages
15,405
Likes
6,417
Points
280
Kennedy

Kennedy

JF-Expert Member
Joined Dec 28, 2011
15,405 6,417 280
Mkuu kamilisha habari yako nasi tukuelewe.
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
15,615
Likes
6,130
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
15,615 6,130 280
Kila siku dar kuna ajali za moto 14,na fire hawaokoi hata moja wakija ni kuzima majivu tuuu
 
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Messages
17,214
Likes
4,374
Points
280
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined May 20, 2011
17,214 4,374 280
kariakoo ya wapi hapa musoma au?
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,028
Likes
5,490
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,028 5,490 280
[h=3][/h]


Hali ikiwa tete.

Moto ukiunguza paa la baa hiyo.

Shock ya umeme ikitokea karibu na jengo hilo.

Watu waliojaa kushuhudia tukio hilo.

Moto mkubwa umezuka jijini Dar es Salaam karibu kabisa na Soko Kuu la Kariakoo leo asubuhi na kuteketeza baa moja. Chanzo cha moto huo inadaiwa kuwa ni hitilafu ya umeme iliyotokea jirani na baa hiyo.


MOTO MKALI WATIKISA MAENEO YA KARIAKOO JIJINI DAR - MPEKUZI HURU
 
awp

awp

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Messages
1,714
Likes
10
Points
135
awp

awp

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2012
1,714 10 135
Dar kwa majanga, Poleni waathirika wa moto
 
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2010
Messages
47,856
Likes
3,642
Points
280
Watu8

Watu8

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2010
47,856 3,642 280
Yote hii ni ujenzi usiofuata kanuni za mipango miji...
 
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Messages
43,223
Likes
40,762
Points
280
Bujibuji

Bujibuji

JF-Expert Member
Joined Feb 4, 2009
43,223 40,762 280
Je kuna majeruhi na vifo vilivyotokea?
Mungu apishilie mabaa haya
 
S

shansi Mushi

New Member
Joined
Jun 19, 2013
Messages
1
Likes
0
Points
0
Age
49
S

shansi Mushi

New Member
Joined Jun 19, 2013
1 0 0
Dar ni majengo kuporomoka na moto kuteketeza kila kukicha. Arusha ni mabomu kila kukicha. Watanzania tunaelekea wapi?
 
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2009
Messages
16,228
Likes
4,625
Points
280
KakaJambazi

KakaJambazi

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2009
16,228 4,625 280
Mkuu MziziMkavu, mbona huwa unarudia posts? hii habari ipo tangu jana. Uwe unacheki kabla ya kupost.
 
Last edited by a moderator:
Mshomba

Mshomba

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2013
Messages
1,629
Likes
207
Points
160
Mshomba

Mshomba

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2013
1,629 207 160
Nadhani zima moto wapo hapo kufuatana na hizo picha hapo juu linaonekana gari la fire
 

Forum statistics

Threads 1,274,856
Members 490,833
Posts 30,526,099