Moto Mkapa towers

Hapo huwa hakuna moto, wanawashaga ving'ola makusudi ili kuona incase ikitokea hivyo response itakuwaje! Mnakumbuka ndege kuwaka moto?
 
Ok, watu wote tumesharudi kuendelea na ishu zetu, naona kikosi cha fire ndo kinaingia.
 
Back
Top Bottom