Moto utaendela kutokea hadi hapo mtakapojua kuwa soko si mana yake uchafu. Soko (market) ni sehemu ya biashara lazima pajengwe kwa mpangilio mzuri na miundombinu yote ya kuzuia moto, lakini muhimu pawe pasafi. Nikitazama sehemu nyingi zinazoitwa sokoni Tanzania, naona kichefuchefu tu.
Vibanda vya mbao bado nahofia moto tena! Jiji kwani wanasemaje?