Moto masokoni mpaka lini?

Hapakazi

Member
Sep 19, 2011
9
0
Soko letu limeungua, tunajaribu kujenga vibanda ili tuendeleze biashara zetu
wanakuja juu na kutunyima tusijenge.Uonevu huu ni mpaka lini?
E-bwana ee ni bora tutafute style nyingine ya kufanya biashara, Ila sijajua ni style ipi nitumie.
 
Moto utaendela kutokea hadi hapo mtakapojua kuwa soko si mana yake uchafu. Soko (market) ni sehemu ya biashara lazima pajengwe kwa mpangilio mzuri na miundombinu yote ya kuzuia moto, lakini muhimu pawe pasafi. Nikitazama sehemu nyingi zinazoitwa sokoni Tanzania, naona kichefuchefu tu.
 
kwa hiyo washauri masoko yote yachome?
 
Vibanda vya mbao bado nahofia moto tena! Jiji kwani wanasemaje?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom