Miunda
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 530
- 182
Baadhi ya nyumba zikiiungua moto eneo la kiponda mji mkongwe, kuna taarifa lilifika fire car halina maji, na ilifika baada ya Masaa 2
Kweli ccm hapa kazi tu.
Tunataka mabadiliko, maalim apewe nchi asafishe uwoza wa ccm
Kweli ccm hapa kazi tu.
Tunataka mabadiliko, maalim apewe nchi asafishe uwoza wa ccm