Motivational Speaker hawajaiona fursa ya "Waliaji wa kukodi" kwenye misiba?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,191
103,715


Hii ni fursa ambayo inspiration speaker hawajaiona? Ingawa hii fursa ina changamoto nyingi kama ilivyo shughuli zingine za ujasiliamali. Kama huna ndugu wa kutosha wa kulia msibani,basi wenye shughuli wapo kwa gahrama nafuu kabisa.

Namsikiliza Bi. Rukia hapa UTV amenigusa sana. Anasema gharama inategemea na muda watakaolia. Kiasi kinaanzia elfu 80 mpaka laki inategemea na mazingira.

Anasema kwanza wanapata historia ya marehemu na mahusiano ili kurahisisha utendaji wa kazi.
 
Back
Top Bottom