Askari wengi ninavyoongea nao,hasa wadogo, hawataki motisha ya bia, vitu, kwani wanaofaidi ni baadhi ya watu wachache tu, heri ilivyobadilishwa kuwa hela(package) kila mtu anafaidi, Package moja wanaweza kununua bando la bati, au kulipa ada,
Hizo bia sio wote wanakunywa, Huyo mbunge ametumwa na watu kwa maslahi yao, Askari wanasema hawajamtuma, Wanaiomba serikali isibadilishe utaratibu huu aliouacha Mh. Rais wa awamu ya tano Hayati John Pombe Mgufuli