Sipo
JF-Expert Member
- Jul 25, 2008
- 2,139
- 91
WanaJF naamini hii ni wiki ya akina MAMA ambayo kilele chake ni Jumapili hii. Kwa kifupi tu nisesme kuwa tuna kila sababu ya kumheshimu huyu MZAZI anayeitwa MAMA kwa jinsi yeyote ile. Sababu ni nyingi sana na kila mmoja wetu anazifahamu labda tu kwa yule aliyetelekezwa au kutupwa na MAMA yake jalalani. Otherwise let us congratulate our mothers even if she is the late but still her love is with us forever.