Motherboard ya HP 430 G2 inahitajika

Philipo D. Ruzige

JF-Expert Member
Sep 25, 2015
9,412
26,886
Hi,

Nahitaji motherboard ya HP Probook 430 G2.

Kama unayo au kuna Mtu unaweza nilink nae nitashukuru.

Contact:
0745 09 09 05 (whatsapp/calls)
 
Probook zinazingua sana motherboard,
Nilikua na Probook 450 G2 nayo ikazingua,
Aisee nilikeshaa, nilitembea chocho zote mpk machinga complex olaa,

Nikaiuza kama spare,
Jaribu kwa mafundi.
 
Probook zinazingua sana motherboard,
Nilikua na Probook 450 G2 nayo ikazingua,
Aisee nilikeshaa, nilitembea chocho zote mpk machinga complex olaa,

Nikaiuza kama spare,
Jaribu kwa mafundi.
Nishahenya mnoo nimebuma.
Now nimeona nijaribu huku JF mana connection ni kubwa.
 
ukiipata na mm unistue , nilikuwa na kesi tatu mbili nilizipatia ufumbuzi moja nataka tuu motherboard ingine na mm
 
Hili wazo nimelipata pia. Ila sina uzoefu wa kununua hizi circuit boards online.

Zinakua ni za uhakika?
Unaweza nisaidia uzoefu wako

Nimezoea bidhaa za kawaida tu
Ndio Za Uhakika, Just Nunua, Kwa Hawa Vijana Wa Kariakoo Zitakusumbua Otherwise Ukutane Na Mashine Mpya
 
Mi mwenyewe nahitaji mother board hp pro 640 G1
s-l1600.jpg
 
Back
Top Bottom