Zasasule
JF-Expert Member
- Aug 12, 2009
- 1,002
- 103
wadau kuna mchakato niko njiani kuufanya ila nimekwama.nahitaji kuasemble cpu yng.motherboard imezingua..Nahitaji experience yenu.motheboard ipi ni nzuri.maana nyingi ninazozikuta madukani ni Asrock tena za kichina.je mnazionaje?zinafaa ama?je kama hazifai ipi ni nzuri inayofaa kwa ubora?