motherboard ipi ni nzuri?

Zasasule

JF-Expert Member
Aug 12, 2009
1,003
1,250
wadau kuna mchakato niko njiani kuufanya ila nimekwama.nahitaji kuasemble cpu yng.motherboard imezingua..Nahitaji experience yenu.motheboard ipi ni nzuri.maana nyingi ninazozikuta madukani ni Asrock tena za kichina.je mnazionaje?zinafaa ama?je kama hazifai ipi ni nzuri inayofaa kwa ubora?
 

Zasasule

JF-Expert Member
Aug 12, 2009
1,003
1,250
where will i get intell motherboard hapa bongo?na naweza nikapata kwa kiasi gani?which rams yaweza kuwa inatumia?pia inaweza kusupport processor za quad core?
 

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,604
2,000
Asus au Gigabyte ndio nzuri Motherboard kwa huku ughaibuni zipo tele sijuwi huko Tanzania naoan zipo za kichina huko nyumbani.

Ads by Google
Taksitle ASUSAnakart

Uygun Fiyat ve Taksit Seçenekleri ile ASUSAnakartlar Burada!
www.hepsiburada.com/ASUSAnakart
Motherboards

Compare Prices & Save - Shop Smart. Top Online Deals on Mobos & CPUs.
Motherboards.PCWorld.com

Source Find the Best Motherboards Ratings and Reviews
 

Zasasule

JF-Expert Member
Aug 12, 2009
1,003
1,250
thanks for your coperationn!!!!!!
but hizii zote ni ngumuu kupata.nitajaribuukwenda posta.my b nitapata
 

afkombo

Member
Feb 9, 2008
93
95
ndugu kwani wewe uko wapi?and do u know bongo.exactly shop nitakayopata?

Mimi sipo Bongo kaka na sifahamu maduka yoyote yanayouza hivi vitu hapo Bongo.Lakini naamini Gigabyte,Asus au MSI zitakuwepo Bongo maana MSI na Gigabyte ni kutoka Taiwan.Mainland China wanatumia sana hizi Motherboard kwa hiyo kama kuna wafanya biashara wanaoleta kutoka China naamini watakuwa wanaleta hizo kwa hiyo jaribu kuulizia madukani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom