#COVID19 Kwa nini nchi nyingi zilizopata chanjo zina idadi kubwa ya maambukizi ya COVID19?

Acha uongo wewe! Waliochanja wanaopata Covid ni 3% tu ukilinganisha na 97% ya wasiochanja na wanaokufa waliochanja ni 1% ukilinganisha na 99% ya wasiochanja.
Sisi kipimo chetu EPL tu watu wamechanja wanajaza viwanja hakuna barakoa hiyo dalili njema maisha yamerudi,
 
Most vaccinated countries have most covid cases because they release genuine statistics.
Hapa Bongo nina mgonjwa wangu yuko ICU toka alhamisi lkn maDR wanaogopa kusema ana covid. Kisingizio chao results zinatoka Dsm, kaanzishiwa dose za covid na oxygen nyingi tuu. Ukiuliza majibu ya covid wanakuambia wewe unataka majibu ya covid ili iweje, wanakuambia unachotaka ni results au mgonjwa wako apone, inabidi unyong'onyee
Nchi ya watu million 50 wanapimwa sehemu moja tu jambo la kushangaza sana ila sisi hatuumwi sana lakini sio kwamba hatuna corona na uhakika kama tutapiga foleni kupima tunaweza kujikuta 70% positive ila kwa kuwa kuwa na corona sio kuumwa unaweza kuwa na Covid mpaka inaishia bila kusikia dalili yoyote na hao ndio wengi sana wachache inawapiga kidogo na wako inawatesa sana.
 
Ndugu hizi percenge zako zipo sawa kweli?
Kwamba wanaokufa wakiwa na chanjo ni 1% na wasio na chanjo ni 99%...kwamba katika watu mia ambao hawajachanjwa wakipata corona ni mmoja tu atapona, 99 wata rest in peace...
Unaweza weka source ya hizi takwimu?
ata mimi nimezishangaa sana hesabu zake...
kwa maana hio, basi wa Tz tungekua tumeisha kitambo sana..
 
Most vaccinated countries have most covid cases because they release genuine statistics.
Hapa Bongo nina mgonjwa wangu yuko ICU toka alhamisi lkn maDR wanaogopa kusema ana covid. Kisingizio chao results zinatoka Dsm, kaanzishiwa dose za covid na oxygen nyingi tuu. Ukiuliza majibu ya covid wanakuambia wewe unataka majibu ya covid ili iweje, wanakuambia unachotaka ni results au mgonjwa wako apone, inabidi unyong'onyee
Wako sawa, mnaotaka hizo takwimu huwa mnazihitaji ili iweje?

Na unapouguza mgonjwa unataka ujue ana covid au apone?
 
Nchi zilizochanja sana ndizo zenye maambukizi sana!!! Mmmhhh!!🤔🤔🤔🤔

Mwandishi wa makala haya katika geopolitic dot org anauliza maswali ya msingi sana:

Anasema:
"Ask yourself. What is the cause of this trend among the vaccinated? The SARS-2 Delta Variant or the Killer Vaccine?"
Na ukisoma makala unaona kuwa wanapiga marufuku kufanyia maiti autopsy. Kwa nini? Mnaficha nini? Mna mipango gani?

......
Ni mambo ya kujiuliza na kuchunguza badala ya kukimbilia kusema "mbona tulishachanjwa?" Kwani kuuliza jambo ni dhambi?

Source: Most Vaccinated Countries Have Most COVID Cases - geopolitic
Hizo ndizo zilizoathiriwa zaidi,sema lingine.
 
Most vaccinated countries have most covid cases because they release genuine statistics.
Hapa Bongo nina mgonjwa wangu yuko ICU toka alhamisi lkn maDR wanaogopa kusema ana covid. Kisingizio chao results zinatoka Dsm, kaanzishiwa dose za covid na oxygen nyingi tuu. Ukiuliza majibu ya covid wanakuambia wewe unataka majibu ya covid ili iweje, wanakuambia unachotaka ni results au mgonjwa wako apone, inabidi unyong'onyee
Na wewe unakaa unaulizia majibu ya covid, kana kwamba watamani uambiwe ana covid , ili uisifu covid jinsi inavyoshughulikia wanadamu siyo?
 
Sisi kipimo chetu EPL tu watu wamechanja wanajaza viwanja hakuna barakoa hiyo dalili njema maisha yamerudi,
Sisi wengine kipimo chetu 'kwa mkapa'.. Watu wanajaa uwanjani, hawana barakoa, hawajachanjwa, na hawafi kwa covid,... Tumeyashuhudia haya na tunaendelea kuyashuhudia..
Wao maisha yamerudi, sisi maisha yanaendelea..
 
Hizo ndizo zilizoathiriwa zaidi,sema lingine.
Tulimzika Magufuli tukiwa makundi kwa makundi.
Tunashonana kwenye usafiri na viwanja vya michezo kila siku;
Kwa nini hatukushuhudia maambukizi yakipanda wakati tunaambiwa kila siku
kuhusu social distancing?

Tuliambiwa barabara za Afrika zitakuwa zimejaa maiti za waliokufa kwa korona.
Wako wapi maiti hao zaidi ya mwaka sasa?
 
Usiishi kwa kukariri,akili zakuambiwa changanyamo na zako,pia mazingira yako sii ya wengine.pia unazotakwimu za kwenu,au unatujia na porojo za akina gwajiboy.
 
Na wewe unakaa unaulizia majibu ya covid, kana kwamba watamani uambiwe ana covid , ili uisifu covid jinsi inavyoshughulikia wanadamu siyo?
la hasha.
Ni mbali na hayo.
Nikupe challenge.

Kama kabla ya chanjo dalili si nyingi lakini baada ya chanjo zinaongezeka,
Je, hakwamba dalili za korona actually ni dalili za chanjo?
 
Usiishi kwa kukariri,akili zakuambiwa changanyamo na zako,pia mazingura yako sii ya wengine.pia unazotakwimu za kwenu,au unatujia na porojo za alina gwajiboy.

IMG_20210721_205316_040.jpg
 
Acha uongo wewe! Waliochanja wanaopata Covid ni 3% tu ukilinganisha na 97% ya wasiochanja na wanaokufa waliochanja ni 1% ukilinganisha na 99% ya wasiochanja.
Hizi takwimu kuwa wasio chanja kati ya 100% wanaokufa ni 99% umezitoa wap mkuu?
 
Mwanzo nlkua nachonga sana kuhusu covid, ila toka imenipata imenikata ngebe zote, mpaka leo sijakaa sawa
 
Back
Top Bottom