#COVID19 Most Mutated COVID-19 Variant yet found in Tanzania travelers

kifinga

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
4,931
2,000
Dont misquote me

Elewa kwamba Ukizua ongezeko la maambukizi(infection rate), utazuia kwa kiwango kikubwa cha mutation rate, yaani utakapo zuia kuzaliana kwa viruses kwa njia ya maambukizi utazuia uwezo wa high mutation rate.

Na kuzuia infection rate ni kufuata masharti ya kujikinga, ambapo Serikali ya Tanzania ilipuuzia hili toka mwanzoni, na badala yake kusambaza uwongo kuwa wameishinda COVID19 kwa maombi na Nyungu.
ndugu zako waingerez wameamua kufuata mbinu za Tanzania wanawaacha watu waendelee na maisha kama kawaida hao ndio walioku brainwash
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom