FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 36,063
- 40,724
Wimbo wa taifa hauna rangi, nimeshakujibu, haya, na wewe jibu swali languSwali lina makosa ya kimantiki, hata jibu litakosa mantiki na maana.
Ni kama nikikuuliza rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani?
Unaniambia swali lina makosa, wimbo hauna rangi, una sauti.
Sitaki kusikia, nashikilia tu, jibu swali.
Rangi ya wimbo wa taifa ni rangi gani?
Jibu swali.