Watanzania wanatafuta Kenya na Wakenya wanatafuta Afrika Kusini

Sawa mkuu. Ngojea miaka zako 50 za kukua. Nina uhakika mataifa mengine yatakuwa yanasubiri Kiswahili chenu kikue.
ndio sababu nikasema huna akili. embu taja kwa africa pekee tu kiswahili kinazungumzwa na watu wangapi???
au mataifa mangapi?? kabla hujapinga au ku doubt kuhusu jambo fulani hakikisha unalielewa sawa sawa.

haaya kalale.
 
Kukitumia si hoja, hoja ni jinsi inavyotumika. Mataifa yepi yanatumia Kiswahili kama lugha ya kufunzia masomo mengine? Mataifa yepi yanatumia Kiswahili kufunza physics kwa mfano?

Nawe acha kujikaza bure
 
wewe ndio unatumia nguvu kwa jambo lililo wazi.

kazi ya kutumia kiswahili kufundishia tunafanya sisi wenye kiswahili, nyinyi wengine msio na lugha mtachagua kati ya kichina au kiingereza whatever.
 
STK-20200427-WA0039.jpg
 
Kwamba ndio nchi inayofatiliwa sana hadi google inaongoza kwa kutafuta record zake

Wamesahau malawi na zambia zilipopata ile dhuruba ya njaa baada ya kile kimbunga kenya ilifichwa

now hizo nchi tumewapa mahindi, kenya wamerudi kwenye nafasi yao
Tunawafuatilia tujue kama njaa imeisha huko na umaskini .kama upo ...ili tuwape msaada
View attachment 1717547View attachment 1717550View attachment 1717548View attachment 1717552View attachment 1717549View attachment 1717551View attachment 1717554View attachment 1717553
 
Jamaa kutwa wamepagawa na Kenya, huwa wanakesha wakiiwaza Kenya, tutaipita Kenya, kwani hawa Wakenya wana nini.
 
Thousands of Kenyans live in Tanzania they continually Google about BBI madness, Wheelbarrows, tangatanga, kieleweke, mlembe politics etc,
Probably Tanzaniana google how to bring Kenyans in Tanzania back to Kenya , what else will a Tanzanian Google from a failed, poor hunger stricken wicked and wretched third world country
 
Back
Top Bottom