Mossad: Nguzo imara nyuma ya ustawi wa taifa la ISRAEL dhidi ya hila za SYRIA.

Keep on, akupataye wewe kwa hakika atakuwa amepata mke mwema kabisa, hata muda ukiamuwa kupitia udaku wa Shigongo unakuwa na upeo wa kufilter mambo na kudigest.

This is it.
Asante matola kwa kunikubali, waswahili husema za kuambiwa changanya na za kwako, shingongo story huwa ni za Ku refresh mind too si unajua ukiwa serious na kila kitu akili inachoka sana.
 
Mkuu
Jengo lipo syria au korea kaskazini? Lakini wao walitumia setilaiti kuchunguza ya syria je hao wasyria hawana setilaiti ya kuchunguza hiyo helicopter ya hao waisrael kiasi cha kutua huko syria kufanya waliyoyataka bila kugundulika? Mazezeta pekee ndio watakaoamini huu upuuzi
Mkuu hujalazimishwa kuamini! Mtoa mada ameamua kushare story hapa jamvini Ili tuburudike na pia kupata habari kuhusu ujasusi duniani.
 
Huyo maisha yameshamchapa hasira zake anahamishia kwetu na bado atamtambuwa Magu mpaka afanane na shetani kudadeki.

Iwe ni simulizi za kwwli au za kubuni sisi mashabiki wa hizi spies story we don't care kwa sababu material kama hizi Elvis Musiba alikuwa anatuuzia lwa bei kubwa kwenye vitabu vyake vya Willy Gamba, sasa hapa JF wadau wanatumia muda wao mwingi kuandaa hizi material na kuzimwaga bure halafu anatokea kibaka mmoja eti anabeza huyu kama siyo punguwani ni nini?
 
Matola Mimi napenda kujifunza kila siku na kujisomea mambo mbali mbali tofauti, hali hii imenifanya nielewe mambo mengi muhimu.
Wanawake wengi huwa hawapendi kujishughulisha naona wameridhika na mambo simple sana hata wakikaa na wenzi wao huwa hawana wazo jipya LA ku contribute kwenye daily life. To me life is a learning process and I started when I was in primary na hicho ki tabia nimekiendeleza mno.
Learning. ..the real differentiator
 
Tutaheshika vp kama sisi wenyewe hatujiheshimu wala kujithamini? Angalia uongozi mzima wa chadema wako kwa Mzungu Ulaya kushitaki tena wanakwenda kaanchi kadogo kama Denmark hivyo kwa akili yao wanategemea Mzungu ndiyo aje kutatua matatizo yao, sasa tutaheshika vp?
Ombaomba anaheshimiwa tangu lini?
 
Pun
Jengo lipo syria au korea kaskazini? Lakini wao walitumia setilaiti kuchunguza ya syria je hao wasyria hawana setilaiti ya kuchunguza hiyo helicopter ya hao waisrael kiasi cha kutua huko syria kufanya waliyoyataka bila kugundulika? Mazezeta pekee ndio watakaoamini huu upuuzi
Punguza povu basi...si lazima uamini kila kilicholetwa hapa basi na wewe anzisha thread yako
 
Jengo lipo syria au korea kaskazini? Lakini wao walitumia setilaiti kuchunguza ya syria je hao wasyria hawana setilaiti ya kuchunguza hiyo helicopter ya hao waisrael kiasi cha kutua huko syria kufanya waliyoyataka bila kugundulika? Mazezeta pekee ndio watakaoamini huu upuuzi
Jengo lipo Syria.
Ndio maana satellite iliangaza syria,
Ndege za Israel hazikuonekana kwenye radar ya Syria kwa sababu zilikua katika stealth mode kutokana na code walizozi-activate kutokana na kuuziwa Na Russia.
Majibu yanapatikana kwenye hadithi husika.
Nadhani nimejitahidi kukuchambulia.
 
Jengo lipo syria au korea kaskazini? Lakini wao walitumia setilaiti kuchunguza ya syria je hao wasyria hawana setilaiti ya kuchunguza hiyo helicopter ya hao waisrael kiasi cha kutua huko syria kufanya waliyoyataka bila kugundulika? Mazezeta pekee ndio watakaoamini huu upuuzi
Omba msaada ukiona giza mchana, wakati wenzio wakilalamika jua Kali.
Na hasa unapokua wewe pekee ndio unaliona giza hilo.
Asante.
 
Jengo lipo syria au korea kaskazini? Lakini wao walitumia setilaiti kuchunguza ya syria je hao wasyria hawana setilaiti ya kuchunguza hiyo helicopter ya hao waisrael kiasi cha kutua huko syria kufanya waliyoyataka bila kugundulika? Mazezeta pekee ndio watakaoamini huu upuuzi
Wamarekani walipomvamia Osama karibu kabisa na kituo cha kijeshi cha Pakistani walionekana na satelite za Pakistani?

Umewahi kusikia 90 minutes of Entebbe?
 
Jamaa anashangaza kwelikweli, nadhani kuna sayari yake anaishi na siyo hii tuliomo sisi, yawezekana huyu ni Tedd bear.
Nadhani tuamini kwamba tunatofautiana kwa mengi ikiwemo uelewa, hasa wa haraka.
Acha tumpe nafasi ya upendeleo.
Angemkosoa jamaa kuhusu matukio na miaka ningemuunga mkono, lkn hata hivyo naamini mwandishi alipitiwa tu hivyo basi ukirekebisha kichwani mwenyewe unaona visa vinaenda murua kabisa.
 
Jengo lipo syria au korea kaskazini? Lakini wao walitumia setilaiti kuchunguza ya syria je hao wasyria hawana setilaiti ya kuchunguza hiyo helicopter ya hao waisrael kiasi cha kutua huko syria kufanya waliyoyataka bila kugundulika? Mazezeta pekee ndio watakaoamini huu upuuzi
Mkuu katika MAZEZETA namba moja, mbili na tatu, nina wasi wasi wewe ukawa ni mshika namba.
 
Back
Top Bottom