Tafsiri ya Moshi!
M-Mungu
O-Onyesha
S-Sehemu
H-Hela
I-Ilipo.
Wachago hoyeee!
Hivi wachaga wote wanatokea Moshi au wachaga wote wanatokea Kilimanjaro?
Hivi wachaga wote wanatokea Moshi au wachaga wote wanatokea Kilimanjaro?
Acha kudanganya wenzio lolwote wanatokea Moshi. Ndio maana Rombo ni Jamhuri. Yaani Jamhuri ya Kidemokrasa ya watu wa Rombo! Hah hah hah hah!
Acha kudanganya wenzio lol
Hahahaha! Wako juu lol.Hukusikia walipopandisha bendera kule kwao baada ya sukari kuzuiwa Himo! Halafu angalia Baa zao zote zina majina ya kata za kwao! Tarakea Inn, Rombo Shine, Keni Garden, Rombo Green View, Mamsera guest House, Mkuu Motel. Muulize Asprin aliyefanya utafiti!
Hukusikia walipopandisha bendera kule kwao baada ya sukari kuzuiwa Himo! Halafu angalia Baa zao zote zina majina ya kata za kwao! Tarakea Inn, Rombo Shine, Keni Garden, Rombo Green View, Mamsera guest House, Mkuu Motel. Muulize Asprin aliyefanya utafiti!
Hahaha! Unatokea Rombo Filipo? Rais wao ni nani?
Rombo ni nchi inayojtegemea
Hahahaha! Ntalijua tu mwenyewe Nicas Mtei! Afu hivi ndio kusema arusha umehama moja kwa moja au?Unataka kufanya mapinduzi? Hatukutajii jina la presidaa wetu n'go
Rombo ni nchi inayojtegemea