Moshi

KARIA

JF-Expert Member
Jan 15, 2011
717
472
Tafsiri ya Moshi!
M-Mungu
O-Onyesha
S-Sehemu
H-Hela
I-Ilipo.

Wachago hoyeee!
 
Hivi wachaga wote wanatokea Moshi au wachaga wote wanatokea Kilimanjaro?
 
Hivi wachaga wote wanatokea Moshi au wachaga wote wanatokea Kilimanjaro?

wote wanatokea Moshi. Ndio maana Rombo ni Jamhuri. Yaani Jamhuri ya Kidemokrasa ya watu wa Rombo! Hah hah hah hah!
 
Acha kudanganya wenzio lol

Hukusikia walipopandisha bendera kule kwao baada ya sukari kuzuiwa Himo! Halafu angalia Baa zao zote zina majina ya kata za kwao! Tarakea Inn, Rombo Shine, Keni Garden, Rombo Green View, Mamsera guest House, Mkuu Motel. Muulize Asprin aliyefanya utafiti!
 
Last edited by a moderator:

Hahahaha! Wako juu lol.
 
Rombo ni nchi inayojtegemea
 
Last edited by a moderator:
Jana tulikuwa tunajaji mawili matatu,kwanini Tanzania isigawanywe mara mbili iwepo Tanzania Bara Original na Tanzania Visiwani fake
Sasa cjui tuanzie ramani wapi ili ramani iwe nzuri ktk Afrika!

Nicas Mtei kazi ni kwako!

Rombo ni nchi inayojtegemea
 
Last edited by a moderator:
Unataka kufanya mapinduzi? Hatukutajii jina la presidaa wetu n'go
Hahahaha! Ntalijua tu mwenyewe Nicas Mtei! Afu hivi ndio kusema arusha umehama moja kwa moja au?

Jamani afu nimelimisije shemeji langu la ukwee BAGAH? Ukim'dipu' badae mwambie anipigie kabla sijamfuata huko aliko!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom