Moshi

Ndachuwa

JF-Expert Member
Mar 8, 2006
6,269
4,569
Mungu Onyesha Sehemu Hela Ilipo ni maneno ya mmoja wa wasema chocote hapa Arusha
 
hicho ni kirefu cha "moshi" kule kwa wachaga a.k.a Mungu Onyesha Sehemu Hela Ilipo
 
Haya bana laiti mngefikiria hivyo ktk kuikomboa tz yetu tusingekua tunaangaika na huu mgao na ufisadi unaotukumba
 
hawa jamaa hata mkasi ukidondoka wanadai fedha zao. Sasa silver hazitumiki tena sijui watadai nini. Kudaddaddadeki.
 
hawa jamaa hata mkasi ukidondoka wanadai fedha zao. Sasa silver hazitumiki tena sijui watadai nini. Kudaddaddadeki.
<br />
<br />
KUDADADEKI.SISI TUNA JUA HARUFU YA HELA,HARUFU YA ELFU KUMI,ELFU TANO,ELFU MBILI ZOTE ZIKO TOFAUTI NA TUNAZIJUA.HATA WAKIONDOA HIZO COIN HAWATUSUMBUI.teh!
 
Back
Top Bottom