Uchaguzi 2020 Moshi: Tundu Lissu ashindwa kuhutubia baada ya kuchelewa Mkutano wa Kampeni, aahidi kurudi

Vihoja vya Lumumba hivi

Jiwe joined 2015
Rais Tundu joined 2019.

A Big difference.

Social media haijalishi hio, one day in social media ni kubwa! ndo maaana mtu ana nyimbo ina views million sku moja, get your facts right
 
umenkumbusha lissu alivoingia nchini kwa mara ya kwanza watu walivojaa pale airport kumshangaa alafu ufunguzi wa kampeni mbagala ikawa kituko! mwaka huu mtam sana
WEWE Lissu amewaletewa kiwewe...yeye ni point tuu watu wafurika kwenye rallies zake nyie Mond, Alkiba yani wasanii wote,malorrry, matractor, makokoteni, mabus yakubebea watu PLUS wagaga wote wajadi nchini pia wanawapatia ushirikina support.
 
Maoni ya mtanzania wa Kiboroloni Moshi :

Hii inaitwa mahaba kutoka moyoni na akilini hii unawezajikuta saa hizi usiku huu mkeo amekimbilia mkutano usiku huu kwenda kmusikiliza Mh.Tundu Lissu 2020 na kuacha chakula kikiungulia na moto jikoni na gesi mpaka imeisha na wewe unachungulia jikoni unajua mkeo Yupo anapika basi na wewe unaongea kwa sauti kubwa mke wangu Niko chooni unafungua geti unakimbilia mkutano kumsikiliza Tundu lissu ghafla unamuona mkeo wote mnajikuta mmefurahi na furaha imeongezeka kicheko cha furaha unashiñdwa kumwambia mkeo chochote wote mnapenda mabadiliko ya kweli Tundu lissu 2020 √ mpaka CCM na wafanyakazi wanamkubali Tundu lissu hakuna wa kubisha hapa. (Ushuhuda mkutanoni wa wana ndoa hawa)
 
Marangu moko hio.
Screenshot_2020-09-30-21-46-48-1.jpg
 
Kipenzi chetu, Rais wetu huyo. Leo huku Moshi kaacha gumzo haijawahi kutokea. Tunamngoja arudi tena.
 
RAIS RAIS RAIS.. tunasubiri 28.10.2020 kwa hamu kubwa, tuwafurumushe watu Ikulu.
 
Duuh! Huyu mtu anapendwa jamani.

Kuna mwingine anazidi kuifilisi nchi kwa kutumia fedha zetu za Kodi kukodi mabasi na kusomba watu.

Hajaishia hapo, pia analazimika kupiga magoti ili kuomba kura.
Anapendwa kwakuwa ana advocate mahitaji ya watu/jamii. Lissu yuko positive unlike Magufuli, anayetangaza shari na shida kwa jamii...... "Kufika 2020 atakaye baki mjini atakuwa kidume". By Magufuli et-al.
 
Nimeona hamasa ya watu was Moshi Jana usiku kumpokea Lissu aliyechelewa kufika kutokana na wingi wa ratiba.
Shangwe ilikuwa kubwa mno, vibe la kutisha kabisa na halina mfano.

OMBI LANGU;
Hali sio shwari sana na sio siri kwani Lissu kesha kuwa tishio kuelekea ushindi. Katika mikusanyiko mikubwa kama hiyo ambayo wabaya waweza kuitumia Giza ni adui namba moja wa ulinzi. Tuepuke mazingira kama hayo kabisa.

Lissu kwa sasa anastahili ulinzi mkubwa sana kuliko hata hapo atakapo kuwa Rais. Sasa hivi ni tishio kubwa kwa wenye uwezo hata wa kumdhuru.

Nilitoa ushauri hapa kuwa hata ulinzi wa kawaida uongezwe tafadhali ikiwezekana iajiriwe platoon kabisa miongoni mwa waaminifu wa chama waongozane naye.

Hatutakubali excuse yeyote kwenye usalama wake kwa sasa, Mungu ametupatia Lissu jee hata ulinzi wa kawaida atuletee? Huo utakuwa ugoigoi sasa.

Back
Top Bottom