Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,015
- 2,191
Akiwa anaendelea na ziara yake ya siku tatu huko Kanda ya Kaskazini, Rais John Magufuli leo amewaagiza Takukuru kuchunguza mkataba wa Wakala wa Maegesho Manispaa ya Moshi.
Amefikia hatua huyo kutokana na uwepo wa madai ya ubadhirifu wa fedha za manispaa pamoja na unyanyasaji raia.
Amefikia hatua huyo kutokana na uwepo wa madai ya ubadhirifu wa fedha za manispaa pamoja na unyanyasaji raia.