Moshi: Padri afumaniwa live na mke wa mtu akiwa uchi wa mnyama

Status
Not open for further replies.
halafu Padre geto ana mafuta ya Babycare......duh jamani hawa watumishi muwatunze kidogo, mbona Geto limechoka sana?? Changamoto kwa washarika na wana kigango
 
hivi walio na wenza hawatoki nje?

kwa hawa makasisi wakiruhusiwa itapunguza haya mambo kama ni muaminifu kwa mwenza wako huwezi kutoka na kama mnapeana mahajuhaju ya ukweli ndo kutoka hakuta kuepo kabisa.
 
Chumbani kwa Padre....Parokoani, mtaani au wapi huko?!!!

Sakata la fumanizi hilo linadaiwa kutokea Jumatatu ya wiki iliyopita chumbani kwa padri huyo, Marangu Wilaya ya Moshi Vijijini ambako Father Ngowi inasemekana alikutwa ‘laivu' akiwa na mwanamke huyo aliyejulikana kwa jina la kijamii la Mama P.

Hapa, padre anavaa boxer or some balck shorts...

PADRI2.jpg

Hapa chini, Padre amevaa bukta/pajama like Nyeupe na anapewa suruali yake.
Hapo ni chumbani kwake....anazo nguo anaweza kunyakua yoyote na kuvaa, haina maana kwa aliyemfumania kuchukua suruali yake,......

Sijui kama wote mna akili inayofanan na yangu. au ndo hivyo tena!!

PADRI4.jpg
 
Jamani wamuonee huruma yule Mu-Argentina wa watu!Hata mwezi hajamaliza tangu awe Papa wameshaanza tena na matukio yao ya ajabu ajabu! Au wanataka na yeye ajiengue kama papa benedictor?
 
KANISA Katoliki Jimbo la Moshi limeingia katika kashfa nzito baada ya padri wake, Father Urbanus Ngowi wa moja ya parokia zake kudaiwa kufumaniwa na mwanamke anayesemekana ni mke wa mtu

PADRI.jpg

Father Ngowi akiwa ameduwaa baada ya kufumaniwa akiwa na mke wa mtu aliyejulikana kwa jina la kijamii la Mama P.
Sakata la fumanizi hilo linadaiwa kutokea Jumatatu ya wiki iliyopita chumbani kwa padri huyo, Marangu Wilaya ya Moshi Vijijini ambako Father Ngowi inasemekana alikutwa ‘laivu’ akiwa na mwanamke huyo aliyejulikana kwa jina la kijamii la Mama P.

Pamoja na kunaswa huko, vyanzo havijaeleza humo chumbani wawili hao walikuwa wakifanya nini!

Habari zinadai siku ya tukio, mwanamke huyo aliingia nyumbani kwa padri huyo ambapo baadhi ya ndugu wa mumewe walikuwa wakimfuatilia baada ya madai yaliyokuwepo kwamba ana ukaribu wenye maswali mengi na mtumishi huyo wa Mungu.

“Unajua siku nyingi ilivuma kwamba Mama P na Father Ngowi wana ukaribu wenye maswali mengi, mume wake alifuatilia na kubaini ni kweli lakini akashindwa kuutenganisha ukaribu wao,” kilidai chanzo.

PADRI1.jpg

Father Ngowi akijaribu kuomba samahani baada ya kufumaniwa.
Chanzo kikaendelea kudai kwamba baada ya kuona mkewe amejikita kwa mtumishi wa Mungu, mumewe alinyoosha mikono juu na kumwachia Mungu.

Chanzo: Sasa siku hiyo baada ya ndugu wa mume kumfuatilia mpaka anaingia kwa Father Ngowi, wakaona ni bora watafute mpigapicha ili kupata picha za tukio ambazo zitakuwa ushahidi siku za mbele.

“Walipompata wakazama ndani, sekeseke likaanzia hapo. Walimkuta mwanamke huyo na mtumishi wa Mungu wapo kitandani.”

PADRI2.jpg

Father Ngowi na Mama P wakivaa nguo zao kwa aibu baada ya kufumaniwa.

Habari zinadai kwamba kufuatia tukio hilo, tayari Kanisa Katoliki limemweka kitimoto padri huyo ambaye alikuwa akihudumu katika Parokia ya Korongoni, Moshi Vijijini kabla ya kuhamishwa na kupelekwa Parokia ya Makomu, Marangu ambako inadaiwa ameshushwa cheo.

Inadaiwa kuwa baada ya tukio hilo, Father Ngowi alikana kukutwa na mke wa mtu chumbani kwake lakini alipobanwa sana na mabosi wa Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki Moshi, alikiri na kudai ibilisi alimpitia na kuomba kanisa limsamehe na kutompa adhabu kali ambayo itamuathiri kisaikolojia.

Hili ni tukio kubwa na la aina yake kuwahi kulikumba Kanisa Katoliki nchini kwa padri wake kudaiwa kukutwa na mke wa mtu chumbani
PADRI3.jpg

Father Ngowi na Mama P wakiwa na nyuso za aibu baada ya tukio hilo.
Kuna madai kwamba mwaka jana (2012), Father Ngowi, mbele ya waumini wake alisoma barua yenye kukana shutuma zote zilizoelekezwa kwake kwamba amekuwa na ukaribu wenye maswali mengi na wake za watu.

Taarifa zilidai kuwa padri huyo aliweka wazi akisema si kweli kwamba amekuwa na ukaribu unaotajwa, akawataka waumini wake wapuuze tuhuma hizo alizosema zina mwelekeo wa kuchafua sifa yake na taswira ya Kanisa Katoliki kwa jumla.

Hayo ni madai ya vyanzo vyetu ambavyo viliambatanisha na picha mbalimbali za tukio hilo lenye kushtua waumini sambamba na namba za simu za padri huyo kwa ajili ya mawasiliano ili kujiridhisha.
PADRI4.jpg

Father Ngowi akipatiwa suruali yake.

poleni sana mtakao ghafilika ni taarifa tu wandugu.myie wanaume mnamuona mwenzenu? itikadi za kidini weka pembeni tuzungumze fumanizzzzzzzz
sourse :mnaiona hapo
Nyie wakatoliki mnashangaza!!! Ina maana padre huyo anaweza kusamehewa na kuendelea na upadre? Kuwanyima mapadre kuoa ni dhambi kwa mungu ona sasa mambo wanayofanya.
 
kwa hawa makasisi wakiruhusiwa itapunguza haya mambo kama ni muaminifu kwa mwenza wako huwezi kutoka na kama mnapeana mahajuhaju ya ukweli ndo kutoka hakuta kuepo kabisa.
Wala usijidanganye ndugu... Kwani wanandoa hawatoki nje?
 
Haya mambo dr slaa alishituka mapema,maana wananchi wa Basotu walishamzungumzia kipindi cha mapenz yake na Rose,mapadri waoe,hii hali inawaharibu hata mbeleni maishan,wanakuwa wanafiki sana,mfano dr slaa.
Kuoa sio solution, mbona siye tumeoa na bado tunaibanjua amri ya Sita Kama hatuna akili nzuri. Hapo ni suala la commitment ya mtu na MUNGU wake. Wengi wameingia huko Kama sehemu ya kuendesha maisha tu Kama wewe na mimi tulivyoamua kuajiriwa ili mkono uende kinywani.
 
Huuuuwiiii jamani narudi nyumabani na mimi nikamalize mambo yangu kwa my wife wangu, naona mtumishi kanihamasisha sana hasa hio style yo kwenye picha ya kwanza hapo juu, sijui ndio style gani hii, ndio mbuzi kagoma au chuma.... Paloma na saudari mnauzoefu na hizi style?
 
Last edited by a moderator:
hahahaaaaa LAZIMA nikaseme kwa shemeji, kumbeeeee heri yangu mie sijafanya hivi karibuni....hahahahaaa
Kuoa sio solution, mbona siye tumeoa na bado tunaibanjua amri ya Sita Kama hatuna akili nzuri. Hapo ni suala la commitment ya mtu na MUNGU wake. Wengi wameingia huko Kama sehemu ya kuendesha maisha tu Kama wewe na mimi tulivyoamua kuajiriwa ili mkono uende kinywani.
 
kwa hawa makasisi wakiruhusiwa itapunguza haya mambo kama ni muaminifu kwa mwenza wako huwezi kutoka na kama mnapeana mahajuhaju ya ukweli ndo kutoka hakuta kuepo kabisa.
Kwani huyo padre alikuwa anajitomba mwenyewe?
basi na huyo mke wa mtu aolewe na wanaume watatu kwasabababu huyo mmoja hamtoshelezi....hampi mahanjuhanju ya ukweli kama unavyosema.

Binadamu bana!!
 
Waliooa na kuolewa wanafumaniwa kila siku sembuse asie na mke kabisa.

Binadamu hajakamilika.!!
 
quote_icon.png
By Alfu Lela Ulela

Si mlisema hamtaki kuchinjiwa?, sasa Padri kaamua kuchinja mwenyewe.
Kwahiyo Huu mchezo utaniambia na nyie mnagombea kuchinja kwakua mnawachinjaga waumini wenu sio?
 
soma maelezo mimi sijui mkuu ila mumewa atakuwa hana hamu tena aisee lol aibu sana naona bora angefumwa yuko na mtoto mzuri ajabu potelea mbali lol hilo jimama minyama na amejitwika aibu sana.

Kha starehe ya wenzio hiyo wewe!!!! tema mate shemeji... hehehehehehehehehe

PADRI2.jpg
 
KANISA Katoliki Jimbo la Moshi limeingia katika kashfa nzito baada ya padri wake, Father Urbanus Ngowi wa moja ya parokia zake kudaiwa kufumaniwa na mwanamke anayesemekana ni mke wa mtu

PADRI.jpg

Father Ngowi akiwa ameduwaa baada ya kufumaniwa akiwa na mke wa mtu aliyejulikana kwa jina la kijamii la Mama P.
Sakata la fumanizi hilo linadaiwa kutokea Jumatatu ya wiki iliyopita chumbani kwa padri huyo, Marangu Wilaya ya Moshi Vijijini ambako Father Ngowi inasemekana alikutwa ‘laivu’ akiwa na mwanamke huyo aliyejulikana kwa jina la kijamii la Mama P.

Pamoja na kunaswa huko, vyanzo havijaeleza humo chumbani wawili hao walikuwa wakifanya nini!

Habari zinadai siku ya tukio, mwanamke huyo aliingia nyumbani kwa padri huyo ambapo baadhi ya ndugu wa mumewe walikuwa wakimfuatilia baada ya madai yaliyokuwepo kwamba ana ukaribu wenye maswali mengi na mtumishi huyo wa Mungu.

“Unajua siku nyingi ilivuma kwamba Mama P na Father Ngowi wana ukaribu wenye maswali mengi, mume wake alifuatilia na kubaini ni kweli lakini akashindwa kuutenganisha ukaribu wao,” kilidai chanzo.

PADRI1.jpg

Father Ngowi akijaribu kuomba samahani baada ya kufumaniwa.
Chanzo kikaendelea kudai kwamba baada ya kuona mkewe amejikita kwa mtumishi wa Mungu, mumewe alinyoosha mikono juu na kumwachia Mungu.

Chanzo: Sasa siku hiyo baada ya ndugu wa mume kumfuatilia mpaka anaingia kwa Father Ngowi, wakaona ni bora watafute mpigapicha ili kupata picha za tukio ambazo zitakuwa ushahidi siku za mbele.

“Walipompata wakazama ndani, sekeseke likaanzia hapo. Walimkuta mwanamke huyo na mtumishi wa Mungu wapo kitandani.”

PADRI2.jpg

Father Ngowi na Mama P wakivaa nguo zao kwa aibu baada ya kufumaniwa.

Habari zinadai kwamba kufuatia tukio hilo, tayari Kanisa Katoliki limemweka kitimoto padri huyo ambaye alikuwa akihudumu katika Parokia ya Korongoni, Moshi Vijijini kabla ya kuhamishwa na kupelekwa Parokia ya Makomu, Marangu ambako inadaiwa ameshushwa cheo.

Inadaiwa kuwa baada ya tukio hilo, Father Ngowi alikana kukutwa na mke wa mtu chumbani kwake lakini alipobanwa sana na mabosi wa Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki Moshi, alikiri na kudai ibilisi alimpitia na kuomba kanisa limsamehe na kutompa adhabu kali ambayo itamuathiri kisaikolojia.

Hili ni tukio kubwa na la aina yake kuwahi kulikumba Kanisa Katoliki nchini kwa padri wake kudaiwa kukutwa na mke wa mtu chumbani
PADRI3.jpg

Father Ngowi na Mama P wakiwa na nyuso za aibu baada ya tukio hilo.
Kuna madai kwamba mwaka jana (2012), Father Ngowi, mbele ya waumini wake alisoma barua yenye kukana shutuma zote zilizoelekezwa kwake kwamba amekuwa na ukaribu wenye maswali mengi na wake za watu.

Taarifa zilidai kuwa padri huyo aliweka wazi akisema si kweli kwamba amekuwa na ukaribu unaotajwa, akawataka waumini wake wapuuze tuhuma hizo alizosema zina mwelekeo wa kuchafua sifa yake na taswira ya Kanisa Katoliki kwa jumla.

Hayo ni madai ya vyanzo vyetu ambavyo viliambatanisha na picha mbalimbali za tukio hilo lenye kushtua waumini sambamba na namba za simu za padri huyo kwa ajili ya mawasiliano ili kujiridhisha.
PADRI4.jpg

Father Ngowi akipatiwa suruali yake.

poleni sana mtakao ghafilika ni taarifa tu wandugu.myie wanaume mnamuona mwenzenu? itikadi za kidini weka pembeni tuzungumze fumanizzzzzzzz
sourse :mnaiona hapo

hata waumini nao au ndo msemo usemao mchungaji huaangalia ndani ya kondoo wake na kuchagua aliyenona.
 
kwa hawa makasisi wakiruhusiwa itapunguza haya mambo kama ni muaminifu kwa mwenza wako huwezi kutoka na kama mnapeana mahajuhaju ya ukweli ndo kutoka hakuta kuepo kabisa.
umeona uvunjifu wa uaminifu umepungua kwa wenye ndoa?
 
Wala usijidanganye ndugu... Kwani wanandoa hawatoki nje?

Kama kuna kuaminiana ,kusaminiana na mahahaju ya ukweli hakutakuwa na wanandoa wanao toka nje wanaotoka ukiwauliza lazima kutakuwa na sababu iliomfanya atoke nje,tukirudi kwa hawa makasisi wanatoka nje maana sheria inawazuia kuwa na mipondodo sasa wanapojaribu ndo hivyo wanaumbuka lakini tukumbe nao ni Binadamu kupenda muhimu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom