Moshi na Arusha: Msaada wenu wakazi na wenyeji unahitajika hapa

mgazanyau

Senior Member
Aug 15, 2015
147
225
Salam kwenyu waungwana..

Naombeni kufahamishwa soko la samaki aina ya sangara na sato katika mikoa hiyo niliyotaja hapo juu

Mpango kazi nilionao nikuuza samaki katika kijiwe nitakachokianzisha mwenyewe

Kijiwe hicho kutakuwa na ukaangaji wa samaki, uchomaji wa samaki, samaki wabichi watapatikana hapo napia kutakuwa kunapatikana supu ya samaki kila siku asubuhi

Mimi ni mjasilia mali tu sina pesa nyingi kwahiyo ushauli wenu uzingatie mtaji wa kuanzia kg 200.

Pia siifaham kabisa mikoa hii wala sijawahi fika japo nimekuwa naisoma sana huku mitandaoni , sina tamaa ya kufika huko bali nachotafta ni kufanya biashara kwahiyo kama kuna sehem tofauti na mikoa hiyo unaweza nishauli nakaribisha ushauli wenu.

Natanguliza shukrani

View attachment 1455904
20200521_183521.jpg
 

Joseverest

JF-Expert Member
Sep 25, 2013
44,363
2,000
KWA SASA HIVI NAKUSHAURI FANYA UTAFITI KWANZA USIKURUPUKE KUANZA CHAP... HALI YA KIBIASHARA IMEKAA KIMTEGO SANA SABABU YA CORONA
 

mgazanyau

Senior Member
Aug 15, 2015
147
225
Sawa mkuu ndio sababu nimekuja hapa nategemea kupata majibu ya maswali mengi sana nayojiuliza.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom