kababaa1
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 596
- 398
mamshangaziii...Huu utakuwa msemo mpya huko Moshi na Arusha..Arusha wana majina safi ya wadada mfano...
Shori
Chuda
Nairo
Manzi
n.k
mamshangaziii...Huu utakuwa msemo mpya huko Moshi na Arusha..Arusha wana majina safi ya wadada mfano...
Shori
Chuda
Nairo
Manzi
n.k
Fine p, tyt p, wanakutana nayo sana kwny site chafu hapa wanajifanya kutoelewa....Maana yake ni pussy. Umeelewa sasa?
Hamna chalii anaebonga hivyo labda manziNiaje arifu,chali angu ni kwere,Jana nilienda kwa maza nilichanja gomba hatari mida mida si ikaisha,tukahamia kwenye mkokaaa yereeeeeuuuuwiiiii!
Chaliangu hiyo kwikwi ati...halafu kuna paka anataka nitoa upepo...inshamshtukia mapema maaaaaamaye ni shida ati chaaaaaaa!