Good for you. Ila nenda kanywe yale ya bomba pale mjini moro halafu uje utupe mrejesho.
Sidhani kama ni kweli ww ni mkazi wa Kilimanjaro. wewe una ujinga mwingi sana kichwani.
Sidhani kama ni kweli ww ni mkazi wa Kilimanjaro. wewe una ujinga mwingi sana kichwani.
nimesoma moshi 6 years sijawahi kuchemsha maji
We thubutu yako, Unachokiandikaga hapa jukwaani tu huwa kinadhihilisha wewe ni mtu wa namna gani. Narudia tena.Yaani wewe unayeishi huko Matindigani ndo mjinga wa hali ya juu. Ujinga wako umepevuka.
Moshi raha sana kwa upande wa huduma ya maji safi sa salama. Hata chakula tu kinapatikana sana na kwa bei nafuu mno.
Kuna skimu nyingi sana za umwagiliaji kwa ajili ya mazao ya mbogamboga na matundo. Heko wanaMoshi.
Tuje upande wa maji.
Sijawahi kusikia mtu anachemsha maji ya kunywa mjini Moshi. Maji yake ni safi sana na salama. Ya baridi toka theluji ya mlima Kilimanjaro. Ukinywa kweli unataste kitu kizuri sana. Ni maji matamu sana.
Tunagida maji toka kwenye tap moja kwa moja matumboni lakini hatuumwi matumbo sisi. Maji ni safi sana.
Asante MUWASA!
HoyeeHata sio MUWASA mkuu... Moshi na kilimanjaro kwa ujumla imebarikiwa na mwenyezi Mungu...
Kwanza ni mji msafi kuliko yote africa pili ni mji pekee wenye benki nyingi...
Tatu ni mji ambao watu wake wameelimika sana na wanajali umoja na biashara!!
Nne ni mji pekee ambao watu wanafagia mpaka shambani...
Naweza nikawa sijivunii kuwa mtanzania hasa kwa haya mambo ya awamu hii ila nnajivunia sana kuwa mkazi wa kilimanjaro/Moshi.
Kaskazini oyeeeeeee!!!