MOSHI: Mwaka wa 20 sasa tunakunywa maji yasiyochemshwa na hatuumwi matumbo

Sema Moshi wanamaji Safi, lakini ukiweka hoja ya kuchemsha maji Mkuu kaa ujue watanzania wengi wanakunywa maji yasiyochemshwa na afya wako fiti tu. Watu wengi Hawana utaratibu wa kuchemsha maji Wa kwanza mimi apa.
 
Hivi yale meno yenu yaliyochafuka yamesababishwa na kitu gani? Nikionaga yale meno huwa nayaogopa maji ya Kilimanjaro. Meno yenu yanaharibu muonekano wenu. Poleni kwa maji yenye magadi
 
Sijawahi kuchemsha maji popote pale Tanzania nikaapo , Nakwepa maji ya Arusha kwa ajili tu ya madini yaliyomo ila the rest ni mimi na kikombe bombani nakunywa sijawahi kuumwa typhoid
 
Yaani wewe unayeishi huko Matindigani ndo mjinga wa hali ya juu. Ujinga wako umepevuka.
We thubutu yako, Unachokiandikaga hapa jukwaani tu huwa kinadhihilisha wewe ni mtu wa namna gani. Narudia tena.
UNA UJINGA MWINGI SANA KICHWANI.
 
Moshi raha sana kwa upande wa huduma ya maji safi sa salama. Hata chakula tu kinapatikana sana na kwa bei nafuu mno.

Kuna skimu nyingi sana za umwagiliaji kwa ajili ya mazao ya mbogamboga na matundo. Heko wanaMoshi.

Tuje upande wa maji.

Sijawahi kusikia mtu anachemsha maji ya kunywa mjini Moshi. Maji yake ni safi sana na salama. Ya baridi toka theluji ya mlima Kilimanjaro. Ukinywa kweli unataste kitu kizuri sana. Ni maji matamu sana.

Tunagida maji toka kwenye tap moja kwa moja matumboni lakini hatuumwi matumbo sisi. Maji ni safi sana.

Asante MUWASA!

Hongereni

Nchi moja, various standards, kwanini miji mingine hawajifunzi toka Moshi? hata kufagia mitaa tu wameshindwa, come on!! go to Moshi and learn
 
Hata sio MUWASA mkuu... Moshi na kilimanjaro kwa ujumla imebarikiwa na mwenyezi Mungu...

Kwanza ni mji msafi kuliko yote africa pili ni mji pekee wenye benki nyingi...

Tatu ni mji ambao watu wake wameelimika sana na wanajali umoja na biashara!!

Nne ni mji pekee ambao watu wanafagia mpaka shambani...

Naweza nikawa sijivunii kuwa mtanzania hasa kwa haya mambo ya awamu hii ila nnajivunia sana kuwa mkazi wa kilimanjaro/Moshi.

Kaskazini oyeeeeeee!!!
Hoyee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom