Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Moshi raha sana kwa upande wa huduma ya maji safi sa salama. Hata chakula tu kinapatikana sana na kwa bei nafuu mno.
Kuna skimu nyingi sana za umwagiliaji kwa ajili ya mazao ya mbogamboga na matundo. Heko wanaMoshi.
Tuje upande wa maji.
Sijawahi kusikia mtu anachemsha maji ya kunywa mjini Moshi. Maji yake ni safi sana na salama. Ya baridi toka theluji ya mlima Kilimanjaro. Ukinywa kweli unataste kitu kizuri sana. Ni maji matamu sana.
Tunagida maji toka kwenye tap moja kwa moja matumboni lakini hatuumwi matumbo sisi. Maji ni safi sana.
Asante MUWASA!