MOSHI: Mwaka wa 20 sasa tunakunywa maji yasiyochemshwa na hatuumwi matumbo

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,554
8,552
Moshi raha sana kwa upande wa huduma ya maji safi sa salama. Hata chakula tu kinapatikana sana na kwa bei nafuu mno.

Kuna skimu nyingi sana za umwagiliaji kwa ajili ya mazao ya mbogamboga na matundo. Heko wanaMoshi.

Tuje upande wa maji.

Sijawahi kusikia mtu anachemsha maji ya kunywa mjini Moshi. Maji yake ni safi sana na salama. Ya baridi toka theluji ya mlima Kilimanjaro. Ukinywa kweli unataste kitu kizuri sana. Ni maji matamu sana.

Tunagida maji toka kwenye tap moja kwa moja matumboni lakini hatuumwi matumbo sisi. Maji ni safi sana.

Asante MUWASA!
 
Hata sio MUWASA mkuu... Moshi na kilimanjaro kwa ujumla imebarikiwa na mwenyezi Mungu...

Kwanza ni mji msafi kuliko yote africa pili ni mji pekee wenye benki nyingi...

Tatu ni mji ambao watu wake wameelimika sana na wanajali umoja na biashara!!

Nne ni mji pekee ambao watu wanafagia mpaka shambani...

Naweza nikawa sijivunii kuwa mtanzania hasa kwa haya mambo ya awamu hii ila nnajivunia sana kuwa mkazi wa kilimanjaro/Moshi.

Kaskazini oyeeeeeee!!!
 
unakunywa peke yako ila unatumia wingi wa tunakunywa nenda pale mawenzi kachukue data pale mawenzi au KCMC na uje na data sio nadharia
Niliumwa typhoid kwa mara ya kwanza maishan mwangu nikiwa morogoro!! Sijawahi kuumwa nikiwa moshi!!

Nikiwa moshi huwaga sichemshi maji, nachukua jagi langu naenda kwenye bomba nachota maji nakunywa...
 
unakunywa peke yako ila unatumia wingi wa tunakunywa nenda pale mawenzi kachukue data pale mawenzi au KCMC na uje na data sio nadharia
Mkuu maji ya bomba ya moshi ni safi na salama.
 
Sidhani kama ni kweli ww ni mkazi wa Kilimanjaro. wewe una ujinga mwingi sana kichwani.
 
Niliumwa typhoid kwa mara ya kwanza maishan mwangu nikiwa morogoro!! Sijawahi kuumwa nikiwa moshi!!

Nikiwa moshi huwaga sichemshi maji, nachukua jagi langu naenda kwenye bomba nachota maji nakunywa...
Mara ya kwanza nimetoka Dar, nilipofika Moshi nahangaika kuchemsha maji ya kunywa.., wenyeji walinicheka sana. Baadaye nilipokutana na mkemia mmoja mfanyakazi katika maabara ya maji Muwasa ndio akanidhibitishia kuwa maji ya bomba ya moshi ni safi na salama kwa kunywa.
Tokea siku hiyo ni mwendo wa ku download tu maji bombani
 
Moshi raha sana kwa upande wa huduma ya maji safi sa salama. Hata chakula tu kinapatikana sana na kwa bei nafuu mno. Kuna skimu nyingi sana za umwagiliaji kwa ajili ya mazao ya mbogamboga na matundo. Heko wanaMoshi!

Tuje upande wa maji.

Sijawahi kusikia mtu anachemsha maji ya kunywa mjini Moshi. Maji yake ni safi sana na salama. Ya baridii toka theluji ya mlima Kilimanjaro. Ukinywa kweli unataste kitu kizuri sana. Ni maji matamu sana.

Tunagida maji toka kwenye tap moja kwa moja matumboni lakini hatuumwagi matumbo sisi. Maji ni safi sana.

Asante MUWSA!

Nani kakwambia ukinywa maji yasiyoechemshwa unaumwa matumbo?
 
Watu wa Humu bwana mnapromo za ajabu ajabu ...""" nimeishi moro goro "" sehemu kubwa ya watu wa milimani wanakunywa Maji ya MTO "" haya chemshwi "" wla kuchujwa " na pia hauwezi kusikia wakiumwa tumbo kama msemavyo ...binafsi nimekunywa sana hayo Maji "" na mpaka nafikia umri huu sijawahi kuumwa typhoid......
 
Good for you. Ila nenda kanywe yale ya bomba pale mjini moro halafu uje utupe mrejesho.
 
Sio kila sehem tunatumia maji ya muwasa mkuu... Wengine tunachota chemchem, mtoni na kwenye visima vya watu binafsi!!
sema umezaliwa kibosho umekulia maraangu ujawai toka nje ya moshi ivi kati ya mbeya na moshi wap chakula bei rahis? pili kunywa maji yasiyochemshwa na kutokuumwa inategemeana na kinga ya mtu na conamination ya maji yenyewe ndio aana nikakwambia nenda KCMC na mawezi hospital kaangalie data ukikuta hakuna data za kuumwa matumbo kama typhoid ndio uje na uzi
 
Back
Top Bottom