Moshi: International School of UWCEA yasitisha masomo Baada ya Wanafunzi 2 kupatwa na Corona

Watu wanakupa daily hata wakurugenzi Dodoma wanakufa na wapi ICU kibao ma boss wa serikali
 
Wakishatangaza ugonjwa upo.NINI KINAFATIA?
msipende kuleta taharuki ambazo HAZIPO.
Kama taratibu za kiafya kila siku mnaambiwa.vaeni barakoa,naweni maji ,tumieni sanitizer .
Sasa unataka ufanyiwe nini?
Ugonjwa upo ndio au unataka Hadi serikali itangaze ndo ujue upo?

Walipotangaza wakati ule kuwa ipo nini kiliharibika zaidi ya watu kuchukua tahadhari zaidi?
 
UWE NA HESHIMA KIBARAKA WEWE ENDELEA KUPIGA KELELE TU ILA DAWA YENU VIBARAKA WOTE IPO JIKONI NA IMESHAKWIVA TUTAWAKAMATA NA TUKIANZA KUWASHUGHULIKIA MSIANZE KULIALIA KAMA HATUJAWAONYA. MBINYO UKIANZA UTAWATAFUTA HAO VIRUSI KWA TOCHI NA OLE WAKO WASIONEKANE. UNAFIKIRI HAOO NYUMA YA HIYO INTANETI NDIO UMEJIFICHA NA UNAWEZA KUSAMBAZA UONGO ?TANZANIA NI NCHI SALAMA NA HAKUNA CORONA WALA HAKUNA MTU ANAYEVAA BARAKOA NA HATA WATALII WANALIJUA HILO NYIE WACHACHE MMEISHIWA HOJA MNAANZA KULETA HABARI ZA UONGO TU ILI MLETE TAHALUKI.

Ww ni mchumba tu kama wachumba wengine, na kama unajiamini jichanganye na mimi kisha uje mwenyewe uone kama kesho ndugu zako hawajamkia msibani. Rudi shule ukajifunze matumizi ya herufi kubwa, kenge mkubwa ww.
 
Na hizi ndio ada zao
20210120_160730.jpg
 
Ww ni mchumba tu kama wachumba wengine, na kama unajiamini jichanganye na mimi kisha uje mwenyewe uone kama kesho ndugu zako hawajamkia msibani. Rudi shule ukajifunze matumizi ya herufi kubwa, kenge mkubwa ww.
ENDEREA KUBWABWAJA TU SI UNATUMIA ID FEKI NDIO UNAJIONA MJANJA SIKU UTAKAPOUMBULIKA NDIO UTAJUA MANUFAA YA KUSHUPAZA HIYO SHINGO. VIBARAKA KAMA NYIE HAMFAI KWA NCHI YETU TUNAYOIJENGA SASA HIVI. KWA MASLAHI MAPANA YA TAIFA WATU KAMA NYIE NI WAKUNYOOSHWA ILI AKILI IKAE SAWA.
 
Niliwahi kuandika njia niliyotumia hapo nyuma baada ya kupata nafuu:
  • Kunywa mara tatu mpaka tano kwa siku mchanganyiko wa limao+tangawizi+pili pili kichaa -> Kupunguza kikohozi.
  • Kusukutua koo na mchangayiko wa maji ya uvuguvugu na chumvi -> Kupunguza maumivu ya vindonda kooni.
  • Kutafuna karafuu na tangawizi mbichi - kurudisha ladha ya chakula, na kutuliza maumivu ya vidonda kooni.
  • Kujifukiza kwa majani ya mkaratusi, tangawizi na viks kingo ya mafuta ->Kufungua pua na kurudisha pumzi.
  • Panadol -> Kupunguza maumivu ya kichwa na kutuliza homa.
Inategemea na mwili wa mtu lakini, sijui kama ni formula ambayo itatibu 100% kila mtu. Hii ishu ya kwenda kupima wakati unaumwa ni kutafuta "stress" nilifanyiwa IgM antibody test 2 tofauti baadaye na kupimwa mapafu walinikuta nina viashiria kuwa nilipata maambukizi, mapafu yalipungua uwezo wake nikashauriwa na huyo daktari nifanye mazoezi mepesi kwanza maana nilikuwa nimepona ila naona kama mwili umebadilika na sio wangu, ila kwa sasa naona nipo imara kwa asilimia 99% kama sio 100%.

Blessings, chief
 
ENDEREA KUBWABWAJA TU SI UNATUMIA ID FEKI NDIO UNAJIONA MJANJA SIKU UTAKAPOUMBULIKA NDIO UTAJUA MANUFAA YA KUSHUPAZA HIYO SHINGO. VIBARAKA KAMA NYIE HAMFAI KWA NCHI YETU TUNAYOIJENGA SASA HIVI. KWA MASLAHI MAPANA YA TAIFA WATU KAMA NYIE NI WAKUNYOOSHWA ILI AKILI IKAE SAWA.

Nimekuambia rudi shule ukajifunze matumizi ya herufi kubwa. Umeanza na vitisho vya kishamba sijui nimejificha kwenye Id fake na unaweza kunikamata. Nimekuambia usipate shida maana unaweza kunipata, ila njoo mwenyewe ili nione huo ubavu wako kama haijawa mwisho wako kula ugali we mchumba.
 
Kama ipo itaonekana tu yenyewe.
Shida nini?
Utangaze usitangaze watu watajua tu maana wagonjwa wangeongezeka na vifo pia.muda UTAONGEA Ila kwa sasa mnapiga ramli
Bali kutokutangaza ndio dawa ya Corona?
 
Kama ipo itaonekana tu yenyewe.
Shida nini?
Utangaze usitangaze watu watajua tu maana wagonjwa wangeongezeka na vifo pia.muda UTAONGEA Ila kwa sasa mnapiga ramli

Sijui hata unapinga nini na kutetea nini, maana kama ipo na watu watajua, ndio hapo hao wenye hiyo shule wameona na kusema. Tunashangaa nguvu kubwa kutumika kuficha jambo ambalo sio kosa la serikali bali tatizo la dunia nzima. Sasa kama mambo ambayo hayana hata sababu ya kufichwa yanafichwa, je ni mangapi yanafichwa?
 
Hao wenye shule wamepima kwa vipimo gani?.
Sijui hata unapinga nini na kutetea nini, maana kama ipo na watu watajua, ndio hapo hao wenye hiyo shule wameona na kusema. Tunashangaa nguvu kubwa kutumika kuficha jambo ambalo sio kosa la serikali bali tatizo la dunia nzima. Sasa kama mambo ambayo hayana hata sababu ya kufichwa yanafichwa, je ni mangapi yanafichwa?
 
huu ugonjwa sio wa kubishania sana kama upo au haupo. mtu binafsi ukimkamata ndo ataelewa kama upo au haupo. tuendelee kuchukua tahadhari na Mungu azidi kutulinda.
Tatizo wanaosema huu ugonjwa hakuna hawako sahihi ila pia wanaosema huu ugonjwa upo nao wanakosea pale wanapotia chumvi kuwa upo na watu wanakufa sana,hapo ndio wanawapa nguvu wanaosema hakuna corona maana kiukweli hakuna hiyo hali ya watu kufa sana kwa corona.
 
Kuna wimbi la hofu juu ya Corona,watu wameanza kuchukua tahadhari wenyewe kwa kuanza kurejesha ndoo za kunawia nje ya majumba yao!

Kuna hospitali wauguzi wameanza kuvaa barakoa!

Kuna dalili ugonjwa huu umerejea kwa kasi!

Chukua tahadhari!
kabsa aise tena ya safari hii haicheleweshi jana mtu ulikuwa naye siku 2 baadae unaambiwa tulishamzika
 
Nafikiri wangesema hali zao ikoje because Corona ni ugonjwa kama mwingine. Mafua hayo.Hivi do you think kwamba Corona vaccine itasababisha Corona isitokee kabisa?
Magonjwa mengi yanadawa yake, wewe nani kakwambia hiyo dawa ni kukomesha kabsa na milele haitatokea corona
 
Nimekuambia rudi shule ukajifunze matumizi ya herufi kubwa. Umeanza na vitisho vya kishamba sijui nimejificha kwenye Id fake na unaweza kunikamata. Nimekuambia usipate shida maana unaweza kunipata, ila njoo mwenyewe ili nione huo ubavu wako kama haijawa mwisho wako kula ugali we mchumba.
DAWA YAKO IMEKWIVA. JIANDAE USISEME NI CHUNGU HUWEZI KUMEZA.
 
Back
Top Bottom