Moshi: International School of UWCEA yasitisha masomo Baada ya Wanafunzi 2 kupatwa na Corona

Kuna wimbi la hofu juu ya Corona,watu wameanza kuchukua tahadhari wenyewe kwa kuanza kurejesha ndoo za kunawia nje ya majumba yao!
Kuna hospitali wauguzi wameanza kuvaa barakoa!
Kuna dalioi ugonjwa huu umerejea kwa kasi!
Chukua tahadhari!
Huu ugonjwa haujawahi kuondoka, kuna kipindi watu walikuwa wanashangilia kuwa umeondoka tunaufanyia send-off na tunatolewa takwimu kwenye makoti niliupata ulinitandika aisee, kwa mara ya kwanza nilipanga kabisa jinsi itakavyokuwa nikianza kukata moto, nilipambana na huyo mdudu kwa kila mbinu nilivyopona ni Mungu tu ndio anajua, sema kuna watu unawaendea vizuri unakuta ni mafua tu na kikohozi cha kawaida basi wanadunda kama kawa.
 
Haya, tuambizani hao wanafunzi wawili wa ISM wenye corona wanatibiwa hospitali gani pale Moshi?
 
Walipimwa wapi na kwa kutumia mashine gani maana tuliambiwa kuwa mashine zilizopo hazitoi majibu sahihi.
 
Kuna jilani/ndugu yako kafa kwa corona mbona mnataka kusimamisha shughuri za watu aise, gvt imetunyima ajila tumeamua kujiajili we unataka tufungiwe ndani

Watanzania bana saijui tunataka nini, wacha tupige kazi aise
Sasa hapo anayesimamisha shughuli ni mimi au ugonjwa? Taarifa imesema watoto wamekutwa na Corona unaniuliza kuhusu jirani yangu ili iweje,ugonjwa ukikomaa wala hutafungiwa ila utajifungia tu mwenyewe.
 
Hiki ndio kinachowapa tabu mabeberu kuona kwamba wanakosa wateja wa chanjo, watulie tuu kila mtu ashinde mechi zake.
Mechi gani hizo, na unashindaje? Case in point, nadhani hio shule/ wazazi, wafanyakazi na watabibu wao wapo kwenye better position kufanya maamuzi kuliko mimi na wewe.
 
Huu ugonjwa haujawahi kuondoka, kuna kipindi watu walikuwa wanashangilia kuwa umeondoka tunaufanyia send-off na tunatolewa takwimu kwenye makoti niliupata ulinitandika aisee, kwa mara ya kwanza nilipanga kabisa jinsi itakavyokuwa nikianza kukata moto, nilipambana na huyo mdudu kwa kila mbinu nilivyopona ni Mungu tu ndio anajua, sema kuna watu unawaendea vizuri unakuta ni mafua tu na kikohozi cha kawaida basi wanadunda kama kawa.
eti takwimu zinatolewa kwenye makoti, pole kwa kuugua mkuu
 
Wizara ya Afya bado haijatoa idadi mpya ya wagonjwa?
EYSLdRMWoAYYDUj.jpg
 
Hawa lazima wakipate Cha Moto, serikali imetoa utaratibu wa Nani anapaswa kutoa taarifa za Corona.

P, VP, PM na WA. Huyo aliyetoa taarifa ana moja ya nyadhifa zilizotajwa?
 
Be
Hiki ndio kinachowapa tabu mabeberu kuona kwamba wanakosa wateja wa chanjo, watulie tuu kila mtu ashinde mechi zake.
Hiki ndio kinachowapa tabu mabeberu kuona kwamba wanakosa wateja wa chanjo, watulie tuu kila mtu ashinde mechi zake.
Beberu kama beberu, ndiye anaye tengeneza chanjo zote unazo zijua ambazo watoto wetu wakizaliwa tunawachanja kwa njia ya matone, sasa leo utasema vipi wamekosa wateja wa chanjo?

Jambo jingine chanjo ni kinga si tiba,kwahiyo wanachanjwa wale wasio wagonjwa.

Huu ni ugonjwa kama chanjo ikiwa tayar tutachanjwa kama tunavyo chanjwa kwa magonjwa mengine
 
Kuna wimbi la hofu juu ya Corona,watu wameanza kuchukua tahadhari wenyewe kwa kuanza kurejesha ndoo za kunawia nje ya majumba yao!
Kuna hospitali wauguzi wameanza kuvaa barakoa!
Kuna dalioi ugonjwa huu umerejea kwa kasi!
Chukua tahadhari!
Corona haijawahi kuisha nchi hii, Magu ni 👿👿👿

Sasa hivi watu hawaambiwi, wameanza kuchukua tahadhali wenyewe.
 
Ni Tanzania tu lazima zipimwe Dar wakati nchi zote Lab zinakuwa zimethibitishwa unapima tu labda walituma Nairobi hapo. Sababu ya kufanya kila kitu Dar labda nia safi zisitoke certificate fake kwa wasafiri au data za uongo au inaweza kuwa kuficha ukweli, Hapa kila mtu ajiongeze tu huna haja ya kuambiwa kila kitu.
 
Back
Top Bottom