Moshi city kujaa watu na magari Krismasi ni failure au success?

Mkuu Barbarosa mbona unafatilia sana maisha ya Wachaga ilhali wao hawafatilii maisha yako?

Kwa mfano ungejisikiaje Mchaga angekuuliza swali hili: " We Barbosa mbona unapenda kuweka picha ya mbwa dume kama avatar yako hapa JF, au ndo huwa anakunanii nini? Maana sikuhizi kuna watu wanananihiwa na dogs".

Ungesemaje hapo?
 
Nimecheka sana. Watu wa mikoani mna mbwembwe,

Eti; "Moro city,Iringa city, Arusha city na mwisho Moshi city!"

Anyway ni swali zuri linalopaswa kujiuliza wenyeji wa Kilimanjaro. Wangeweza kuwekeza Kama wanavyowekeza sehemu nyingine nadhani Kilimanjaro ingeipita hata Mwanza.

Naona mada imekuwa ya hasira bila kuliangalia kwa undani kama ulivyobainisha hapa
Kweli kama wangewekeza viwanda na kusambaza mikoani bidhaa zao nafikiri wangeimarisha mji huo
Lakini naona mleta mada wamemshambulia bure kama kawaida yetu waafrika


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom