Moshi city kujaa watu na magari Krismasi ni failure au success?

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
8,775
2,000
Nimecheka sana. Watu wa mikoani mna mbwembwe,

Eti; "Moro city,Iringa city, Arusha city na mwisho Moshi city!"

Anyway ni swali zuri linalopaswa kujiuliza wenyeji wa Kilimanjaro. Wangeweza kuwekeza Kama wanavyowekeza sehemu nyingine nadhani Kilimanjaro ingeipita hata Mwanza.
Hilo linadhihirisha watu hawa hawapendi ukabila ni watu wa kitaifa zaidi.
 
Bintiwamoyo

JF-Expert Member
May 20, 2013
608
1,000
Wenyeji wa Kilimanjaro kufurika na kujaza mji ambao kwa kawaida ni karibia ghost town kwa mwaka mzima, hilo ni jambo la kujivunia au la kusikitisha?

Kwanini mji wa Moshi umeshindwa kutoa opportunity kwa wakazi wake na kuwafanya kuhama kwenda kutafuta riziki kwingine? Mfano Arusha City iko busy mwaka mzima, Moro City, Dar City au hata Iringa City ni mwaka mzima foleni za magari na sio mwisho wa mwaka tu, sasa kwa nini Moshi City imeshindwa halafu watu (baadhi) wanafurahia jambo hilo tena wanajivunia kabisa.
Mnashangazaaaaa.... makabila 150+ mikoa zaidi ya 25, ila Wachagga na Moshi/Kilimanjaro zinafunguliwa nyuzi nyingiii especially when it is December. Pambaneni na mikoa yenu na makabila yenu jamani
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,596
2,000
Wachagga ndio kabila pekee Tanzania wenye asili ya Waisraeli wa kale ile original, wao wanachuna mbali mwisho wa siku wanarudisha faida na kupeleka maendeleo kwao...

Sent using Jamii Forums mobile app

Lkn haiendani na uhalisia, kwani Moshi City economic activities ni ndogo sana na mzunguko wa fedha ni mdogo sana, sasa hiyo faida unayoingelea kurudishwa iko wapi? Ingeionekena, kwanza Mji wa Moshi unakimbiwa kwa kukosa opportunities.
 
Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,596
2,000
Mnashangazaaaaa.... makabila 150+ mikoa zaidi ya 25, ila Wachagga na Moshi/Kilimanjaro zinafunguliwa nyuzi nyingiii especially when it is December. Pambaneni na mikoa yenu na makabila yenu jamani

Mbona huwaulizi wanaojaza serva kutuambia kwamba wamefurika Uchagani? Ulishasikia mtu akiongelea kufurika Mbeya, Mtwara au Bukoba? Lkn kutwa tunatambiwa hapa kwamba Moshi imejaa sasa ungeanza na hao kwanza.
 
Aidanna

JF-Expert Member
Oct 25, 2019
787
1,000
Me nipo Moshi lakini sioni hao watu wanaojaa, but naona mabasi yanajaza kuwaleta sijui wanaishia wapi jamani.
 
semper saratoga

JF-Expert Member
Aug 10, 2015
1,126
2,000
Tunakwenda kuwakimbiza waliolala … kisha mbesa tunarudisha nyumbani.. Unaweza kutuita diaspora nadhani…. Its K or Bust..
Wenyeji wa Kilimanjaro kufurika na kujaza mji ambao kwa kawaida ni karibia ghost town kwa mwaka mzima, hilo ni jambo la kujivunia au la kusikitisha?

Kwanini mji wa Moshi umeshindwa kutoa opportunity kwa wakazi wake na kuwafanya kuhama kwenda kutafuta riziki kwingine? Mfano Arusha City iko busy mwaka mzima, Moro City, Dar City au hata Iringa City ni mwaka mzima foleni za magari na sio mwisho wa mwaka tu, sasa kwa nini Moshi City imeshindwa halafu watu (baadhi) wanafurahia jambo hilo tena wanajivunia kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Monchengladbach

JF-Expert Member
Jan 29, 2019
703
500
Nimecheka sana. Watu wa mikoani mna mbwembwe,

Eti; "Moro city,Iringa city, Arusha city na mwisho Moshi city!"

Anyway ni swali zuri linalopaswa kujiuliza wenyeji wa Kilimanjaro. Wangeweza kuwekeza Kama wanavyowekeza sehemu nyingine nadhani Kilimanjaro ingeipita hata Mwanza.
Kwan kilimanjaro hawajawekeza? Wamewekeza Hadi kukajaa ndipo wakaenda sehemu zingine
In fact Hakuna sehemu yoyote tz utakosa investiment ya mchaga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Monchengladbach

JF-Expert Member
Jan 29, 2019
703
500
Lkn haiendani na uhalisia, kwani Moshi City economic activities ni ndogo sana na mzunguko wa fedha ni mdogo sana, sasa hiyo faida unayoingelea kurudishwa iko wapi? Ingeionekena, kwanza Mji wa Moshi unakimbiwa kwa kukosa opportunities.
Mbona kwa mujibu wa takwimu za serikali kilimanjaro ni mkoa wa pili wananchi wake kuwa na pato kubwa na maisha bora?
90% ya Wana Kilimanjaro Wana Pato kubwa sasa unachosema haki make sense

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Satuuuu

JF-Expert Member
Dec 3, 2015
1,851
2,000
Kwani Mwanza imeipita Kilimanjaro ?
Nimecheka sana. Watu wa mikoani mna mbwembwe,

Eti; "Moro city,Iringa city, Arusha city na mwisho Moshi city!"

Anyway ni swali zuri linalopaswa kujiuliza wenyeji wa Kilimanjaro. Wangeweza kuwekeza Kama wanavyowekeza sehemu nyingine nadhani Kilimanjaro ingeipita hata Mwanza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgeni wa Jiji

JF-Expert Member
Jul 27, 2017
4,738
2,000
Ni utaratibu tu waliojiwekea. Hawa wakikaa kwao Tanzania itakuwa masikini.

VIIXCCCL GrandLodge,ARUSHA
 
Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
8,830
2,000
Hizo foleni kwenye hiyo miji ya Dar, Iringa nk unajua zinasababishwa zaidi na watu kutoka maeneo gani? Tueleze hayo maeneo yaliyo busy wakati ambao si mwisho wa mwaka vitega uchumi vingi ni vya watu kutoka wapi...?
Pembezoni ya mji wa moshi kuna rasilimali za kutosha, mashamba ya nafaka n.k ulitaka nafaka zilimwe pale mjini?
Kwa bahati mbaya naona umepandwa na nyongo ya wivu kooni!!
Tuambie kwenu ni wapi kisha tuangalie mwisho huu wa mwaka kuna mafuriko ya magari au ni maguta, tuone kama kwenu hizo fursa za kupafanya kuwa busy mwaka mzima na mafoleni ya magari kama zipo!
Wenyeji wa Kilimanjaro kufurika na kujaza mji ambao kwa kawaida ni karibia ghost town kwa mwaka mzima, hilo ni jambo la kujivunia au la kusikitisha?

Kwanini mji wa Moshi umeshindwa kutoa opportunity kwa wakazi wake na kuwafanya kuhama kwenda kutafuta riziki kwingine? Mfano Arusha City iko busy mwaka mzima, Moro City, Dar City au hata Iringa City ni mwaka mzima foleni za magari na sio mwisho wa mwaka tu, sasa kwa nini Moshi City imeshindwa halafu watu (baadhi) wanafurahia jambo hilo tena wanajivunia kabisa.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom