Hayo ni mambo ya hiari...mtu kasacrifise ujana wake kukulea na kukusomesha and everything...amefika uzeeni anataka apumue kidogo bado kuna jitu zima lina afya njema lakini livivu linataka kubaki tegemezi.Ni uchoyo wa kipuuzi ,kama ushawahi soma kitabu cha "The richest man in Babylon"utaona Arkad, anampatia mwanae hela za kusimama kiuchumi ,wahindi na waarabu wapo hivyo pia.wazazi wakibongo ni wachoyo mno...