Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

tyc

JF-Expert Member
Feb 25, 2014
969
1,000
Komaeni nao tu. Hamna kabila lisilo na watu wakatili.

Makabila mengine yana Ukatili kwa mambo mengineo ila sio kutoa uhai kisa mali, tena unamtoa roho mumeo au mamá yako kama yule Mmasy wa Arusha alivyomuua mamá yake kisha kumtumbukiza kwenye chemba ya choo
 

msoso mpeseni

JF-Expert Member
Mar 29, 2021
414
500
Dad's Yao atakuua ukitajirika mkuu.yaanu uwe kweli na hela afu mke mchaga kwao wawe masikini utajua Kama haujui .uchagani wanategemea mpaka MTT wa kike kuwatoa kimaisha.
Binti wakati anaondoka wosia anaopewa kuwa angalia mwanetu ulivyotuacha Hali yetu.usiende kulala mmeo sio ndugu yako. Muda wowote ule kila mtu anarudi kwao.
Tofauti mkuu na jamii Kama ya kikurya ama kimasai binti akiolewa ameolewa mazima huyo ni ukoo wa mwanaume Hana Tena Cha kwake kwao.
Yaani hata mkikosana naye harudi kwao anatafuta ndugu zako ndo anaenda kwao,ama kwa wazazi wako wewe mwanaume.yaani hizi jamii huwa zinajua Mana halisi ya neno la English send OFF.
Yaani mie nikizunguana na mke wangu ataenda kunisemea Kama Nina makosa kwa wazazi wangu,Kaka,dada, shangazi Mana Sasa huyu ke kwao ni huku kule kwao ameshaolewa Hana chake.mifupa yake itaoza pamoja na mababu walipozikwa nayeye amekuwa sehemu ya ukoo wetu.

Na ukiwa unaoa hakuangalii Kama una Mali ama haunaa ishu kubwa kuishi kwa amani.
Sasa nenda kaoe uchagani wewe kinda wa hiace ama unachoma mahindi.kwanza hakuna binti wa kichaga atakayekukubali Kama hauna hela.
Yaani bana uchagani kamaa una hela mpaka mamkwe atakuwekea ya kuoga maji.

Huo no uzoefu wangu
Mkuu nimekupenda sana
 

CHARLES2016

JF-Expert Member
Mar 22, 2016
370
500
Mzee ,kuna wazazi mitihani si kitoto, unakuta mzee wako mali kibao na pesa nyingi. ila anataka utafute kazi ,kisa kakusomesha.Wazazi toeni urithi watoto wasimame kiuchumi.
Duh! Yaani mzazi amekulea, amekusomesha bado unataka Mali zake akugawie, mzazi anachoweza kukusaidia ni kukupa connection ya kazi ili upambana utafute zako na ujue uchungu wa mali. Watoto wengi wakipewa mitaji wanatapanya wanarudi tena kwa wazazi wao kwa sababu hawajui uchungu wa hizo Mali.
 

CHARLES2016

JF-Expert Member
Mar 22, 2016
370
500
Hapa huyu dada kashiriana na mpenzi wake. Kuna jinsi mama alikuwa kikwazo. Wambane vizuri...chain nzima itajulikana. Huyu muuguzi mstaafu atakuwa na mali gani? Msidanganywe!!

Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
Kwa hilo sikubaliani, Kama ni ishu ya kuolewa mbona ni rahisi wanatoroshana tu, binti akirudi na mjukuu anaomba msamaha maisha yanaendelea.
 

keisangora

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
3,240
2,000
Nenda gereza lenu la butimba kumejaa kuliko ukonga na segerea,mtu mzima akiwa na macho mekundu roho mnachukua...bado kuua albino yani mmewamaliza
Wale albino ni wachaga ndio wanaitoa dili na waganga wa kienyeji so wanakuja kuwatafuta huku mkuu.
 

Nyumbu-

JF-Expert Member
May 26, 2009
988
500
Unajua wastaafu wengi hasa wale waliokuwa wafanyakaz wa serikali wa daraja la chini kama walimu wana rundo kubwa la watu masikin wanaowazunguka kuanzia ndugu zao mpaka watoto wao na unakuta ana watoto wengi na hawakubahatika kusoma na kupata kazi za kuajiriwa,kwahyo hawa wote zile pesa znapotoka wanatoa macho.

Mfano kuna mama mmoja jirani yetu alipostaafu watoto wake karibia wote walkuja baada ya huyo mama kupata pension wengine wanakaribia kuzeeka,walikuja wanataka wapewe hela nazan aliwapatia,bahati mbaya yule mama alkuwa kajiingiza kwenye mikopo mbalimbali yenye riba za hatari mpaka leo hii huyo mama ni masikin wa kutupwa

Kuna baadhi ya wastaafu huwa na utaratibu mzuri anapopata hela anawaita ndugu zake na watoto anawapatia kiasi kila mtu,kuna wazee huwa wanawapatia watoto wao mpaka zaidi ya mil 5.

Kuna mzee mmoja tena huyu ndo wale ambao wanaweza kuuwawa kirahis maana alichokifanya sio poa,baada ya kupata hela siku moja akawaita watoto wake mkoani alkuwa kafikia hoteli kali sana,akawanunulia mavyakula ya gharama na vinywaj akawashilikisha kwenye inshu ya kununua shell(hili ndo alikuwa kawaitia) na mwsho akawaambia hzo pesa zilizotoka ni zake wasitegemee kuwa zitakuwa zao,akawaambia anachoweza kuwapatia ni kuwalipia gharama za kusoma kwa atakaependa kusoma wakat huo kuna watoto walkuwa watu wazima hadi wana watoto na familia
Huyo Mzee alikuwa sawa. Mtoto natakiwa aambiwe live - ushakuwa katafute mali zako.
 

Easy E

JF-Expert Member
Feb 19, 2012
1,458
2,000
Ni uchoyo wa kipuuzi ,kama ushawahi soma kitabu cha "The richest man in Babylon"utaona Arkad, anampatia mwanae hela za kusimama kiuchumi ,wahindi na waarabu wapo hivyo pia.wazazi wakibongo ni wachoyo mno...
Hayo ni mambo ya hiari...mtu kasacrifise ujana wake kukulea na kukusomesha and everything...amefika uzeeni anataka apumue kidogo bado kuna jitu zima lina afya njema lakini livivu linataka kubaki tegemezi.
 

billionea alpha

JF-Expert Member
Apr 10, 2014
1,044
2,000
Duh! Yaani mzazi amekulea, amekusomesha bado unataka Mali zake akugawie, mzazi anachoweza kukusaidia ni kukupa connection ya kazi ili upambana utafute zako na ujue uchungu wa mali. Watoto wengi wakipewa mitaji wanatapanya wanarudi tena kwa wazazi wao kwa sababu hawajui uchungu wa hizo Mali.
Siyo kweli, KIna; Mo,Aliko dangote ,Trump.... Hao ni mifano ya watu walio pewa mitaji na wametoboa.
 

billionea alpha

JF-Expert Member
Apr 10, 2014
1,044
2,000
Hayo ni mambo ya hiari...mtu kasacrifise ujana wake kukulea na kukusomesha and everything...amefika uzeeni anataka apumue kidogo bado kuna jitu zima lina afya njema lakini livivu linataka kubaki tegemezi.
Siyo wote ni wavivu,kuna wanao pambana haswa ,lakini support ina hitajika avuke mto wa umasikini....Kama zipo toa urithi.
 

mteule senior

JF-Expert Member
Oct 4, 2015
236
250
Yakitokea pengine uongee ivyo ivyo.
Ila uchagani bana hakunaga rafiki yako labda uwe na Mali.
Uzuri mie sio mgeni kwa mchaga nimesoma huko nimefanya kazi huko najua mchaga kuliko anavyojijua.
Mabinti zao wanakusaidia kupata Mali Ila Sasa ukishazipata hauchukui round.
Wamachame wenyewe wanajenga wanapangisha Ila huku wamepanga mke haitakiwi kujua Kama umejenga Mana utaambiwa kwenu kaburi sio kuwa ndo litakuwa la kwanza
Yaani mchaga wa kuoa ni yule aliyeokoka na uwe umemchunguza na umemuuliza Roho Mtakatifu kujiridhisha kama ni mtu sahihi.Siom wote ni wabaya lakini wengi kuna roho za tamaa za mali za kurithi zinawaandama kwa kiasi kikubwa sana
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom