Dharra
JF-Expert Member
- Jun 23, 2017
- 1,661
- 2,930
Huwaga najiuliza sana. Kwa nini matajiri wa Kaskazini na hasa Arusha na Kilimanjaro huwa hawadumu? Huyu mrema, Msuya, wakina Alfred Masawe na wengineo wengi, kwa nini huwa wanapata masanga ya kufa mtu? wanavuma kwa miaka michache kisha wanapotea wengine katika vifo vibaya sana, kuna nini hasa? ni juzi tu Mengi aliaga dunia na mengi yakaongelewa, ni nini hasa sababu?
Mzee wangu mmoja Msukuma wa Mwanza mwenye Maisha yake alikuja kwangu kunilalamikia sana baada ya kijana wake wa Kiume kupata mchumba wa kichaga akiwa masomoni chuoni Marekani, yaani alikuwa analia kabisa, Ni nini hasa? Kwa mtoto wa kiume kupata mchumba tena Msomi mwenzake ni jambo zuri sana? kwa nini mzee wangu alisikitika sana na kusaga meno? kuna nini hasa cha kuogofya? Najaribu ku connect dots ila sielewi kabisa. Kuna siri gani kwenye Triangle hii Kilimanjaro, Moshi na Arusha?