Huo u-T/O wa kazi gani sasa kama amegeuka kuwa mjinga wa hilo lichama lizee!Alikua Tanzania one Form four na Form six
Ni zao la Ilboru sekondari
Mwaka 2004 alifanya Mahojino na Gazeti moja la Arusha alipotangazwa kuwa Tanzania one http://www.arushatimes.co.tz/2004/17/interview.htm .
Achukua fomu ya kuwania ubunge kupitia Chama cha Mapinduzi
Dr Mwizarubi, kijana makini sana
best wishes to my classmate mose mwiza
Arusha haina Rais we mwehu.CCM Hawaangalii Shule ya Mtu bali ni Nani Mkubwa ana final say. Huyu sidhani Kama anawazidi Watia Nia ya Urais Walioshindwa Kuingia 5-bora Matokeo yake Kijana Wanaesema alicheat Form Four akapita.