Morsi ahukumiwa miaka 20 gerezani

PISTO LERO

PISTO LERO

JF-Expert Member
Mar 8, 2011
2,820
1,195

Rais wa zamani Mohammed MorsiHabari za hivi punde zinasema kuwa aliyekuwa rais wa Misri Mohammed Mosri amehukumiwa kifungo cha miaka 20 gerezani kwa kuwachochoea wafuasi wa kundi la Muslim Brotherhood kuwaua waandamanaji wa upinzani alipokuwa madarakani mwaka 2012.
 
Top Bottom